Wakati Wazanzibari wakiadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakazi wa visiwa hivyo wametoa maoni yao kuhusu kumbukumbu ya siku hii na wapi wanapoiona Zanzibar tangu mapinduzi hayo.
J2.12.01.2018 VOX POP ZANZIBAR REVOLUTION MMT - MP3-Stereo
Gwaride la kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar Picha: DW/Y. TalibRais wa Tanzania John Magufuli na Rais wa Zanzibar Ali Mohammed Shein wakisalimianaPicha: DW/Y. TalibSherehe za Mapinduzi zilifanywa katika uwanja wa Amaan Picha: DW/Y.Talib