Kampuni moja ya Ujerumani imejitosa katika juhudi za kutengeneza maroboti yanayojiendesha yenyewe kwa ajili ya matumizi ya ulinzi. Maroboti hayo yanatumia teknolojia ya Akili mnemba kujiongoza. Ungana na Angela Mdungu katika makala ya Sema Uvume kufahamu zaidi.