Je, Ujerumani inawezaje kusaidia kumaliza mizozo barani Afrika na kusaidia idadi yake ya vijana inayoongezeka? Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani, Svenja Schulze, akijibu maswali ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wa DW barani Afrika.