Mwanasiasa wa chama cha Christian Democratic Union, CDU, na mwenye asili ya Tanzania Joe Chialo, ambaye alikuwa waziri wa utamaduni na masuala ya kijamii wa jimbo la Berlin amejiuzulu wadhifa wake baada ya kutumikia kwa zaidi ya miaka mitatu. Hawa Bihoga amemuuliza sababu ya kijiuzulu?