You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wanajeshi 10 wauawa Niger na wanaoshukiwa kuwa magaidi
Idadi ya vifo huenda ikaongezeka kufuatia watu kadhaa kutoweka.
Nigeria na teknolojia ya simulizi za hadithi kwa kidijitali
Kama ilivyo kawaida msikilizaji hapa unasikia hatua zinazopigwa kila uchwao katika sekta ya sayansi na teknolojia. Na hii leo tutakupelaka hadi huko nchini Nigeria ambako kumeanzishwa Programu ya kusimulia watoto hadithi za kiafrika kupitia njia ya dijitali, lakini pia utasikia juu ya programu mpya ya ChatGBT iliyoundwa ili kuigiza mazungumzo ya binaadamu. Sikiliza Sema Uvume.
Bomu laua wafugaji 40 Nigeria
Idadi ya watu waliokufa katika shambulizi la bomu dhidi ya kundi la wafugaji katikati ya Nigeria imefikia 40.
Nigeria yasema uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa
Mkuu wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria amesema nchi hiyo haitaahirisha uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.
Nigeria yaweka kikomo cha utoaji pesa zilizopo benki
Kikomo hicho ni cha kwenye mashine za kutolea fedha maarufu kama (ATM).
Wanamgambo 200 waliuwawa desemba katika mapigano Nigeria
Mapigano kati ya Boko Haram na IS ambalo limejikita katika jimbo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria la Borno.
Je Afrika yaweza kuimarisha demokrasia mwaka 2023?
Nchi kadhaa za Afrika zitafanya uchaguzi mwaka 2023. Wachambuzi wasema chaguzi hizo zitatoa taswira ya demokrasia.
Vijana wakamatwa kwa kuhudhuria 'harusi ya mashoga' Nigeria
Mnamo mwaka 2014, Nigeria ilipitisha sheria inayoharamisha ndoa za watu wa jinsia moja
Ujerumani kurejesha turathi za Benin
Uamuzi huu wa Ujerumani unabeba dhima ya kuimarisha mashirikiano baina ya maitaifa hayo mawili
Baerbock kurudisha mwenyewe kazi za sanaa Nigeria
Watoto kadhaa watekwa nyara katika jimbo la Katsina, Nigeria
Watoto kadhaa wametekwa nyara na watu waliojihami kwa silaha katika jimbo la Kaskazini la Katsina nchini Nigeria.
Tarifa ya Habari za Asubuhi ya DW Kiswahili: 17.10.2022
Vita vya Ukraine vyapelekea watoto milioni 4 kuishi katika umaskini. Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Nigeria yapindukia 600. Moto wasababisha vifo vya watu 4 katika gereza moja nchini Iran.
Nusu ya nchi duniani hazina mifumo ya tahadhari ya majanga
Umoja wa Mataifa umesema nusu ya nchi ulimwenguni hazina mifumo ya kutoa tahadhari kuhusu majanga ili kuepusha maafa.
Mihadarati yatishia mustakabali wa vijana Kano, Nigeria
Katika mji wa kibiashara wa Nigeria Kano, vijana ni wahanga wa mihadarati. Baadhi ya waathiriwa kama Bazooka, wanajizatiti kujirekebisha. Lakini kwa kuwa matumizi ya mihadarati yanaongezeka, bidi zaidi huhitajika kufanikisha azma hiyo. #VijanaMubashara #77Asilimia
UN: Wafanyakazi 35 wa mashirika ya misaada wauawa Nigeria
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuwepo usalama wa wafanyakazi wa kutoa misaada eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria
Hisia juu jinsi vyombo vya habari kimataifa huangazia Afrika
Mara kwa mara vyombo vya habari vya kimataifa hushutumiwa kwa kuangazia tu matukio hasi barani Afrika au kuyapuuza kabisa. Je vijana wa Afrika katika mitaa ya Afrika Kusini, Nigeria na Kenya wanakubaliana na hayo?
DJ Aus ambaye ni kipofu anautikisa muziki wa Nigeria.
DJ Aus anautikisa muziki wa Nigeria. August Akpeji Ayodele aligeuka kipofu akiwa mtoto. Kurunzi inamuangaziamwanamuziki huyu ambaye pia ni DJ ajulikanaye pia kama Aus J, ambaye amejijengea jina kwa sauti na maudhui chanya ya muziki wake.
Mawaziri wazungumzia kitisho cha mzozo wa chakula
Mawaziri wa mambo ya kigeni, kilimo na maendeleo kutoka kote ulimwenguni wamekusanyika mjini Berlin
Bola Tinubu mgombea wa chama tawala Nigeria
Iwapo atashinda, Tinubu atachukuwa nafasi ya rais Muhammadu Buhari hapo mwakani.
Wajumbe wa APC washiriki mchujo wa kumchagua mgombea urais
Chama kikuu cha upinzani kimemchagua Atiku Abubakar kuwania urais
Washambuliaji wauwa 50 kanisani Nigeria
Mashambulizi hayo ya siku ya Jumapili (Juni 5) ni sehemu ya mauaji kadhaa kwenye nyumba za ibada nchini Nigeria.
Kwa wajane Afrika, COVID iliiba waume, nyumba, mustakablali
Wajane wengi wa janga la covid-19 barani Afrika siyo tu wamepoteza waume zao, lakini pia majumba na mustakabali.
HRW yaitaka Nigeria kuwawajibisha wahusika wa mauwaji
Hakuna hatua yoyote miezi sita baada ya ripoti ya jopo la mahakama kuvihusisha vikosi vya usalama katika ukiukaji huo.
Waendeshaji utalii Afrika wanahitaji wageni wa ndani
Huku utalii wa kimataifa ukiwa bado umedorora, kampuni za utalii za Kiafrika zinahitaji wageni wa ndani.
Guterres:wahisani endeleni kuchangia misaada ya kiutu
Wito huo unakuja ikiwa wahisani mbalimbali wamekuwa wakiupa kipaumbele mzozo wa Ukraine.
Guterres aisifu Nigeria kwa kuwasaidia wapiganaji wa zamani
Guterres ameisifu Nigeria kwa mpango wa kuwasaidia wapiganaji wa zamani wa kundi la Boko Haram kurejea uraia
24.04.2022 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Ukraine arudia wito wa ufanya mkutano wa mazungumzo ya kukomesha vita na Putin+++Iran yaanzisha mazungumzo na Saudia kurejesha mahusiano ya kidiplomasia+++Watu kadhaa wateketea kwa moto kutokana na mripuko wa kiwanda cha mafuta Nigeria
Zelenskiy ahutubia Baraza la Usalama, ataka Urusi iadhibiwe
Baraza la Usalama lamsikiliza rais wa Ukraine Volodomyr Zelenskiy, akielezea madhila ya uvamizi wa Urusi nchini mwake.
Afrika Magharibi katika hatari mbaya ya ukosefu wa chakula
Mashirika 11 ya kimataifa imetahadharisha Afrika Magharibi katika hatari ya ukosefu wa chakula.
Nigeria: Watu 168 hawajulikani walipo baada ya shambulio
Shirika la Reli Nigeria, NRC limesema watu 168 hawajulikani waliko baada ya shambulizi la kwenye treni
Watu saba wameuawa katika eneo la machafuko Nigeria
Watu saba wauwa katika jimbo la Plateau, Nigeria kufuatia ghasia kati ya wafugaji wa Kiislamu na wakulima wa Kikristo
Athari kiuchumi kwa Afrika kufuatia mzozo wa Ukraine
Mataifa ya Afrika yanakumbwa na changamoto ambazo zimesababishwa na uvamizi wa Urusi Ukraine.
Kizazi kipya cha makundi ya itikadi kali Nigeria
Wapiganaji wa jihadi nchini Nigeria wameanza tena kufanya mashambulizi baada ya utulivu ulioshuhudiwa kutokana na kuuwaw
Ukraine yajaribu kuwasajili wapiganaji wa kiafrika
Ukraine yajaribu kuwasajili wapiganaji wa kiafrika
Vita ya Cameroon iliyosahaulika yawaacha wakimbizi njiapanda
Katika dazeni kadhaa za mahojiano, wakimbizi wa Cameroon nchini Nigeria wanasimulia uzoefu wao.
Maoni: Mshikano una kasoro unapowaacha nje Waafrika Ukraine
Ubaguzi dhidi ya watu wenye asili ya kiafrika umeibua kelele za ukosoaji chini ya #AfricansinUkraine..
Ufaransa na Washirika wake waamua kuondoka Mali
Ufaransa na washirika wake wa Ulaya waamua kuondoa vikosi vyake na rasilimali nyingine za kijeshi nchini Mali.
Matumizi ya boti na mashua kusuluhisha msongamano wa magari Lagos
Kufuatia msongamano mkubwa wa magari mjini Lagos ilhali kuna uwezekano wa safari ya majini, timu ya vijana 'Boatnaija' mjini humo imeamua kuweka utaratibu wa kusafiri majini katika mji huo kutumia boti. Ni jambo linalosuluhisha tatizo la msongamano wa magari barabarani lakini pia, abiria hupata nafasi ya kubarizi na kufurahia mandhari ya majini. Mengi zaidi ni kwenye Vijana Mubashara 77Asilimia.
Kiongozi wa waasi Nigeria, adai kutotenda kosa lolote
Miito ya uhuru ama kujitenga huwa ni tete mno nchini humo ambako vita vya kiraia vilisababisha vifo vingi.
Misri na timu nyingine tano zatinga 16 bora ya AFCON
Timu ya taifa ya Misri yaibamiza Sudan 2-0 na kusonga mbele hatua ya 16 bora katika michuano ya kandanda barani AFCON.
Nigeria: Ndoa za utotoni bado tatizo kubwa
Wasichana wengi bado wanaozwa wakiwa wadogo, kutokana na mila, umasikini na kukinzana kwa sheria.
Misri yapata ushindi wa kwanza AFCON
Misri yapata ushindi wa kwanza AFCON
Iheanacho awafunika Salah, Mahrez katika AFCON
Nigeria ilipata ushindi dhidi ya mabingwa wa kihistoria Misri, wakati Algeria ikibanwa kwa sare tasa na Sierra Leone
Kuyageuza makonteina kuwa nyumba
Nigeria inakabiliwa na upungufu wa nyumba milioni 22. Kwa hivyo kupata nyumba ya bei nafuu si rahisi. Lakini mtaalamu wa ujenzi Pius Dare anaamini kuyageuza makonteina ya mizigo melini kuwa nyumba maridadi yaweza kuwa suluhisho nafuu. #VijanaMubashara #77Asilimia
Wavamizi wachoma basi na kuwauwa abiria 30 nchini Nigeria
Takriban abiria 30 wameungua moto hadi kufa ndani ya basi katika jimbo la Sokoto nchini Nigeria kufuatia shambulizi.
Utumwa Afrika bado haujatokomezwa
Shirika la kazi ulimwenguni ILO linasema idadi ya ajira ya watoto imeongozeka katika kipindi cha miaka 20
Jeshi liliwauwa waandamanaji Nigeria
Wanajeshi waliwapiga risasi na kuwaua waandamanaji ambao walikuwa hawana silaha wakati wa msako mkali.
Waliokufa baada ya ghorofa kuporomoka Nigeria waongezeka
Jengo hilo lilokuwa na ghorofa 21 liliporomoka siku ya Jumatatu wakati wajenzi wake wakiwa bado katika eneo hilo.
Nigeria: Mwaka mmoja baada ya maandamo ya #EndSARS
Mwaka mmoja baada ya maandamano makubwa kupinga ukatili wa polisi Nigeria, polisi imeonya dhidi ya kurudi mitaani.
Seneti Nigeria yabadili sheria ya matokeo ya uchaguzi
Baraza la Seneti Nigeria yabadili sheria kuhusu uhamishaji matokeo ya uchaguzi kielektroniki.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 8 wa 21
Ukurasa unaofuatia