You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Rais wa Nigeria atuma vikosi vya jeshi kuwaokoa wanafunzi
Rais wa Nigeria atuma vikosi vya jeshi kuwaokoa wanafunzi waliotekwa
Zaidi ya wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Mpaka sasa, Hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulio hilo ingawa lawama zinaangukia kwa makundi yenye silaha
Zaidi ya wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Zaidi ya wanafunzi 280 watekwa nyara Nigeria
Wanafunzi 287 watekwa nyara kaskazini mwa Nigeria
Huo ni utekaji nyara mkubwa wa pili katika taifa hilo la Afrika Magharibi katika muda wa chini ya wiki moja.
Watu 200 watekwa nyara na magaidi kaskazini mwa Nigeria.
Waathiriwa hao walikuwa katika kambi kadhaa wakitafuta kuni katika jimbo la Borno, wakati walipovamiwa na kutekwa.
ECOWAS yaziondolea vikwazo Guinea, Mali
Jumuiya ya Maendeleo ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kupunguza vikwazo dhidi ya Guinea na Mali.
Watu 15 wauawa katika shambulio dhidi ya kanisa Burkina Faso
Shambulio hilo ni moja kati ya hujuma zinazodaiwa kufanywa na makundi ya watu wenye silaha katika eneo hilo.
Kukabili matatizo ya mimba kuharibika na mtoto kufa tumboni
Ivory Coast wafalme wa kandanda barani Afrika
Ivory Coast sasa imejiunga na Nigeria kuwa timu zilizobeba ubingwa wa AFCON mara tatu.
Ivory Coast mabingwa AFCON 2024
Ivory Coast mabingwa AFCON 2024
Michuano ya AFCON yaelekea ukingoni
Uwanja wa Ebimpe mjini Abidjan kutashuhudiwa fainali kati ya Nigeria na wenyeji Ivory Coast.
Niger, Mali, Burkina Faso zashidwa kuheshimu sheria - ECOWAS
ECOWAS imesema mataifa ya Niger, Mali na Burkina Faso yameshindwa kuheshimu sheria kwa kujiondoa katika kundi hilo.
Upinzani Senegal waapa kupinga kuahirishwa uchaguzi
Nao mawaziri wa mambo ya nje wa kigeni wa ECOWAS wanakutana kwa dharura kujadili mkwamo huo wa kisiasa mjini Abuja.
Nigeria na Ivory Coast zatinga fainali za AFCON
Ivory Coast wanakuwa wenyeji wa kwanza wa michuano hiyo kuingia fainali tangu Misri ilipoingia fainali za mwaka 2006.
Nigeria yakwaaa na Afrika Kusini nusu fainali AFCON
Michuano ya AFCON inaingia hatua ya nusu fainali huku mabingwa mara tatu, Nigeria, wakipambana na Afrika Kusini leo.
Nigeria yawataka raia wake Afrika Kusini kuwa na hadhari
Nigeria imetoa wito kwa raia wake wanaoishi Afrika Kusini kuchukua tahadhari kutokana na kile ilichokiita "kitisho".
AFCON: Timu ya Kongo yaahidi "kuwaburudisha" mashabiki wake
Kocha wa Kongo: " Mechi hii ni maalum kwa DRC na pia ni kazi yetu kuwapa watu furaha na kuwafanya watabasamu."
Nigeria yalenga kubeba taji la AFCON
Mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen amesema timu yake inalenga kuendeleza rekodi nzuri AFCON.
Nigeria na DR Kongo zatinga nusu fainali AFCON
Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefuzu nusu fainali ya michuano ya AFCON, kwa kuishind Angola na Guinea.
Nigeria na DR Kongo zashinda na kufuzu nusu fainali AFCON
Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefuzu nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON.
Afrika Wiki Hii
Mripuko wa mitungi ya gesi nchini Kenya wasababisha maafa na majeruhi jijini Nairobi,Viongozi wa Afrika washiriki mkutano kuhusu ushirikiano na waziri mkuu wa Italia mjini Roma. Umoja wa Afrika watowa mwito wa kufanyika majadiliano kati ya ECOWAS na tawala za kijeshi za Niger,Mali na BurkinaFaso baada ya kutangaza kujiondowa kwenye jumuiya hiyo.Sikiliza Afrika Wiki hii na Saumu Mwasimba
Mzozo wa Sahel waendelea kufukuta
Umoja wa Ulaya unakabiliwa na mkanganyiko juu ya uwepo wa ujumbe wake uliosalia nchini Mali.
Nigeria yazikosoa Mali, Niger na Burkina Faso kujitoa ECOWAS
Nigeria imezikosoa Niger, Burkina Faso na Mali kwa kujitoa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS.
Je, Germany inapaswa kupanua ushirikiano kanda ya Sahel?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock aliashiria mwaka jana umuhimu wa ukanda wa Sahel kwa nchi yake.
Jeshi la anga la Nigeria lakiri kuhusika na shambulizi
Jeshi la anga la Nigeria lakiri kuhusika na shambulizi la bomu.
Nigeria yatinga robo fainali AFCON kwa kuipiga Kamerun 2-0
Ademola Lookman alifunga mabao yote mawili katika ushindi wa Nigeria wa 2-0 dhidi ya mahasimu wao wa zamani Kamerun.
Watu 30 wauawa Nigeria
Takribani watu 30 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika jimbo la katikati mwa Nigeriala la Plateau.
Niger yasitisha uchimbaji madini hadi ukaguzi ufanyike
Niger imesimamisha kwa muda utoaji wa leseni mpya za uchimbaji wa madini na kuagiza ukaguzi wa sekta hiyo.
Wanajeshi 10 wa Niger wajeruhiwa, wanamgambo wauawa
Serikali ya Niger imesema wanajeshi wake 10 wamejeruhiwa kwenye mapigano katika eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo.
Blinken ziarani Afrika kupunguza ushawishi wa Urusi
Antony Blinken yupo barani Afrika kuinadi Marekani kuwa ni mshirika bora wa nchi za eneo la Sahel.
Blinken ainadi Marekani kama mshirika wa usalama Afrika
Blinken anafanya ziara katika mataifa manne ya Afrika - Cape Verde, Ivory Coast, Nigeria na Angola.
Blinken ziarani Afrika kudumisha ushawishi wa Marekani
Antony Blinken atembelea Afrika Magharibi wakati ukosefu wa utulivu katika ukanda wa Sahel ukileta wasiwasi zaidi.
Blinken aanza ziara ya siku tano barani Afrika
Ziara hiyo ya siku tano itajadili pia masuala ya usalama na mambo mengine muhimu
Kiwanda cha mafuta cha Dangote chaanza uzalishaji Nigeria
Kiwanda cha Dangote kina uwezo wa kuzalisha mapipa 650,000 kwa siku huenda kikaleta mapinduzi makubwa
Madai ya ubakaji dhidi ya TB Joshua yawatikisa Wanjilisti
Mwinjilisti wa televisheni wa Nigeria marehemu TB Joshua anatuhumiwa kufanya unyanyasaji mkubwa wa kingono.
Milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini yaua watu 10 Nigeria
Milipuko hiyo imeshuhudiwa karibu na mpaka na Cameroon katika eneo lenye harakati za makundi ya kigaidi.
Waziri wa kupambana na umasikini afutwa kazi Nigeria
Beta Edu asimamishwa kazi kufuatia kadhia ya kufanya miamala ya fedha za kusimamia miradi ya masuala ya ustawi wa jamii.
Uganda yapinga kuondolewa AGOA
Hii ina maana kuwa Uganda imepoteza soko la bidhaa zake mbalimbali ikiwemo zile za vitu vya sanaa, viungo na ngozi.
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Kukabili tatizo la mfadhaiko baada ya kiwewe
Jinsi ya kukabili tatizo la mfadhaiko baada ya kiwewe
Mashambulizi ya magenge yauwa watu 160 katikati mwa Nigeria
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mfululizo wa mashambulizi katikati mwa Nigeria imepanda na kufikia 160.
26.12.2023 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Watu 113 wauawa katika mashambulizi katikati mwa Nigeria
Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mkururo wa mashambulizi katikati mwa Nigeria.
Watu 16 wauwawa kwenye shambulio jimbo la Plateau, Nigeria
Watu 16 wameuwawa kwenye shambulio lililotokea eneo la kati kaskazini mwa Nigeria.
Abiria Nigeria kusafiri kwa nusu nauli katika kipindi hiki
Abiria Nigeria kusafiri nusu ya nauli katika kipindi hiki
16.12.2023-Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius atakwenda Niger wiki ijayo kutathmini hali ya vikosi vyake kufuatia mapinduzi ya Julai na kuondoka kwa wanajeshi wa ulinzi wa amani katika nchi jirani ya Mali.
ECOWAS: Juhudi za kukomesha mapinduzi hazijazaa matunda
Viongozi wa ECOWAS kwa mara ya kwanza wametambua kuwa juhudi zao za kukomesha mapinduzi ya kijeshi hazijazaa matunda
Niger na Togo wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Marais wa nchi mbili hizo wakubaliana kushirikiana katika usalama wa kikanda na barabara inayounganisha Lome na Niamey.
Nigeria kuwaadhibu waliohusika na mashambulizi ya droni
Nigeria imeahidi kuwaadhibu wanajeshi waliohusika na shambulizi la droni lililowaua kwa bahati mbaya raia 85
Makala ya Utamaduni na Sanaa na sekta ya filamu Afrika
Makala ya Utamaduni na Sanaa na sekta ya filamu Afrika. Ungana na Saumu Mwasimba akiangazia sekta hiyo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 21
Ukurasa unaofuatia