You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nigeria yapokea chanjo za ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo
Nigeria ni mojawapo ya nchi 26 za Afrika zinazokabiliwa na hatari ya maambukizi ya ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo.
Watu 6 wafariki nchini Nigeria kufuatia ajali ya lori
Ajali mbaya za malori hushuhudiwa mara kwa mara katika barabara kuu huko Nigeria.
Nigeria yatangaza hali ya hatari katika jimbo la Rivers
Hayo yanafuatia mapigano ya muda mrefu yaliyovunja bunge la jimbo hilo na mvutano ulioanza Desemba 2023.
Je, nchi za Afrika zinapaswa kuwatoza kodi kubwa matajiri?
Nchi 5 au "Big 5" za Afrika zenye mamilionea na mabilionea wengi ni Afrika Kusini, Misri, Nigeria, Kenya na Morocco.
Nchi 3 za Afrika zasaini mkataba wa bomba la gesi asilia
Mradi huo umepewa msukumo kutokana na ongezeko la mahitaji ya gesi na kupanda kwa bei ulimwenguni kote.
Mali, Burkina Faso na Niger zajitoa rasmi ECOWAS
Mataifa matatu ya Sahel ya Mali, Burkina Faso na Niger yamejitoa rasmi kwenye Jumuiya ya ECOWAS baada ya miaka 50.
Afrika Kusini kukutana na Misri katika AFCON
Afrika Kusini kukutana na Misri katika AFCON
Droo ya AFCON 2025 yapangwa Morocco
Tanzania na Uganda zimepangwa katika Kundi C pamoja na Nigeria na Tunisia katika michuano hiyo itakayoanza Desemba 21
Wanamgambo wawauwa wanajeshi 20 Nigeria
Watu wanaodhaniwa kuwa ni wanamgambo wenye itikadi kali za Kiislamu, wamewauwa takriban wanajeshi 20 wa Nigeria.
UN yatafuta dola milioni 910 kusaidia Nigeria kaskazini
Watu hao wanaokabiliwa na changamoto za kiusalama, ukosefu wa chakula, na hali mbaya ya maisha
Senegal kukutana na Nigeria, Sudan kwenye CHAN
Mabingwa watetezi Senegal watakabana koo na Nigeria na Sudan katika Kundi D la mashindano CHAN.
Mashambulizi ya kijeshi yasababisha vifo vya raia Nigeria
Mashambulizi ya kijeshi yasababisha vifo vya raia.
Watu 21 wauawa katika shambulizi la genge nchini Nigeria
Wanamgambo wapatao 21 wanaoiunga mkono serikali ya Nigeria wameuawa katika shambulizi la kuvizia na magenge ya wahalifu.
Watu 19 wauawa kwenye shambulio la makazi ya rais Chad
Washambuliaji hao walivamia eneo la makazi ya rais wakitaka kulidhibiti eneo hilo.
China: Ushirikiano na Afrika ni njia ya ukuaji wa pamoja
Wachambuzi wanasema ziara hii inalenga kufanikisha ukuaji wa pamoja kati ya pande hizi mbili.
Waziri wa mambo ya nje wa China kuzuru nchi za Afrika
Wang Yi anatarajiwa kuzizuru nchi za Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria kuanzia Januari 5 hadi 11.
Matangazo ya mchana: 30.12.2024
Jimmy Carter, Rais wa zamani wa Marekani afariki dunia akiwa na umri wa miaka 100++Maafisa wa Korea Kusini waomba kibali cha kukamatwa kwa rais aliyesimamishwa Yoon Suk Yeol++ Mkuu wa WHO atoa mwito kwa Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza.
Nigeria yaizika Ghana na kutinga michuano ya CHAN 2025
Nigeria yaizika Ghana na kutinga michuano ya CHAN 2025
Takriban watu 10 wauawa kimakosa na jeshi Nigeria
Jeshi la Nigeria lilikuwa linawafuatilia majambazi katika vijiji viwili lilipowashambulia katika jimbo la la Sokoto.
Mechi za kufuzu CHAN 2025 zaendelea barani Afrika
Nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zinayaandaa mashindano hayo kwa pamoja.
Idadi ya waliokufa kwa mkanyagano Nigeria yafikia 32
Rais wa Nigeria Bola Tinubu ametuma salamu za rambirambi kwa wahanga wa mkasa huo na kusitisha shughuli zake rasmi.
Watoto 35 wapoteza maisha kwenye mkanyagano Nigeria
Watoto 35 wamekufa na wengine sita wamejeruhiwa vibaya katika mkanyagano uliotolea kwenye tamasha la shule moja Nigeria.
Frank-Walter Steinmeier aendelea na ziara yake Afrika
Rais Frank-Walter Steinmeier aelekea Afrika Kusini na Lesotho akitokea Nigeria
Rais Steinmeier asifu mageuzi ya kiuchumi ya Nigeria
Rais wa Nigeria, Bola Tinubu amemwambia Rais wa Ujerumani, kwamba milango ya Nigeria iko wazi katika biashara.
Rais Tinubu awasilisha bungeni miswada muhimu ya kodi
Iwapo miswada hiyo itapitishwa na kuwa sheria, itapunguza ushuru unaotozwa watu binafsi.
Karibu watu 27 wafa maji baada ya boti kuzama, Nigeria
Abiria wengi walikuwa hawajavaa vifaa vya kujiokoa, hali iliyosababisha wengi kuzama majini na kufa.
Akusudia kusafiri kwa pikipiki kutoka Kenya hadi Nigeria
Ebaide Joy anakusudia kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza wa kiafrika kusafiri kwa pikipiki kutoka Mombasa hadi Lagos. Miaka 10 iliyopita Ebaide alipata ajali mbaya ya mgongo lakini sasa amepona na bado anataka kutimiza ndoto zake.
Ripoti: Watu milioni 35 ni wakimbizi Afrika sababu ya mizozo
Kufikia mwisho wa mwaka uliopita, bara la Afrika lilikuwa na watu milioni 35 wanaoishi nje ya makazi yao.
Narendra Modi na Rais Tinubuwakutana mjini Abuja, Nigeria
Narendra Modi na Rais Tinubuwakutana mjini Abuja, Nigeria
Nigeria yakopa mamilioni ili kusaidia sekta ya kilimo
Wanigeria wapatao milioni 25 tayari wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula na idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka.
Askari 15 wa Chad wauawa katika operesheni ya Boko Haram
Kwa miaka 12 sasa Chad ni mshirika muhimu kwa vikosi vya Ufaransa na Marekani katika kupambana na uasi Afrika Magharibi
Wanajeshi wauwawa Chad katika mapambano na Boko Haram
Wanajeshi kadhaa wa Chad wameuwawa katika makabili na wananamgambo wenye Itikadi kali wa Boko Haram.
Chad yadai kuwaua wanamgambo wengi wa Boko Haram
Rais wa Chad Mahmat Idriss Deby Itno amesema wapiganaji wengi wameuwawa na kujeruhiwa katika mashambulizi ya anga.
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo
Ni kutokana na tuhuma za kushiriki katika maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini humo.
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo
Nigeria yawaachia watoto 29 waliokabiliwa na adhabu ya kifo kwa tuhuma za kushiriki maandamano
Watu 76 wafunguliwa mashtaka ya uhaini Nigeria
Hati ya mashtaka imesema washukiwa wamechunguzwa kati ya mwezi Julai na Agosti.
CAF yaipatia Nigeria ushindi wa 3-0 dhidi ya Libya
Mechi hiyo haikufanyika baada ya Nigeria kukwama katika uwanja wa ndege wa mbali wa Libya kwa nusu siku kabla ya mechi.
Nigeria yapewa alama tatu dhidi ya Libya kutokana na hujma
Mechi hiyo haikufanyika baada ya Nigeria kukwama katika uwanja wa ndege wa mbali wa Libya kwa nusu siku kabla ya mechi.
UN: Watu bilioni 1.1 wakabiliwa na umaskini
Zaidi ya watu bilioni moja duniani wanaishi katika umaskini mkubwa.
Mlipuko wa lori la gesi waua 140 na kujeruhi wengi Nigeria
Zaidi ya watu 140 wakiwemo watoto wamefariki dunia huko Nigeria baada ya lori la kusafirisha petroli kulipuka.
Mripuko wa lori la mafuta waua karibu watu 100 Nigeria
Karibu watu 100 wamekufa na wengine 50 wamejeruhiwa kufuatia mripuko wa lori la mafuta kaskazini mwa Nigeria.
Zaidi ya watu 350 wafa kwa kipindupindu nchini Nigeria
Nigeria inakabiliwa na janga hilo katikati ya mafuriko yaliyosababisha karibu watu milioni mbili kuhama makazi yao.
Benki ya Dunia yaiidhinishia Nigeria dola bilioni 1.57
Benki ya Dunia imeidhinisha kitita cha dola bilioni 1.57 chini ya mpango mpya wa kuzisaidia sekta kadhaa nchini Nigeria.
Nigeria yataka Afrika ipewe kiti cha kudumu Umoja wa Mataifa
Makamu wa rais wa Nigeria Kashim Shettima, alisisitiza kuwa Baraza la Usalama linapaswa kupanuliwa na kujumuisha Afrika.
Migogoro Afrika imevuruga elimu kwa mamilioni ya watoto
Zaidi ya shule 14,000 katika maeneo hayo zilifungwa katika robo ya pili ya 2024, ikiwa ni sawa na shule 1,000 zaidi.
Coca-Cola kuwekeza dola bilioni 1 Nigeria
Kampuni ya Coca-Cola inapanga kuwekeza dola bilioni 1 katika kipindi cha miaka mitano ijayo nchini Nigeria.
Mafuriko yasababisha vifo 30 Nigeria
Ezekiel Manzo, msemaji wa Wakala wa Kitaifa wa Usimamizi wa Matukio ya Dharura, alisema kwamba idadi ya waliokufa ni 30
Jaji Nigeria awapa dhamana watu 10 walioshtakiwa kwa uhaini
Jaji mmoja katika mahakama ya Nigeria, amewaachilia kwa dhamana watu 10 waliokuwa wameshtakiwa kwa kosa la uhaini.
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
China na Nigeria kuhimiza ushirikiano katika masuala ya fedha. Umoja wa Ulaya waikosoa Mongolia kwa kutomkamata rais wa Urusi, Vladimir Putin. Na Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine apigwa risasi na kujeruhiwa mguuni.
Nigeria kuanza kutowa chanjo ya Mpox kuanzia Oktoba 8
Nigeria yatangaza kuanza kutowa chanjo ya Mpox kuanzia Oktoba 8
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 21
Ukurasa unaofuatia