You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Marekani yatatiza juhudi za mchakato wa uongozi wa WTO
Mchakato wa Shirika la WTO wa kuchagua kiongozi mpya umekwama baada ya Marekani kumkataa aliyependekezwa
Mafunzo ya densi mtindo wa ‘Ballet’ Lagos Nigeria
Hii ni shule ya densi mtindo wa Ballet katika mtaa wa watu maskini kwenye mji mkubwa Lagos nchini Nigeria. Hutoa mafunzo ya densi maalum kwa watoto katika taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu Afrika. Daniel Ajala anayependa densi ya ballet, aliifungua shule hii mwishoni mwa mwaka 2017 baada ya kusomea mbinu za densi hiyo vitabuni na mitandaoni.
Buhari ahimiza kusitishwa maandamano
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ametaka uchunguzi kuanzishwa dhidi ya vikosi vya usalama
Amnesty: Waandamanaji 12 wameuwawa Nigeria
Shirika la Amnesty International, limesema na waandamanaji 12 wanaopinga ukatili wa polisi wameuwawa Nigeria.
Wanajeshi Nigeria wafyatua risasi dhidi ya waandamanaji
Mashuhuda wadai kwamba wananajeshi Nigeria wamewafyatulia risasi waandamanaji mjini Lagos.
Watu wenye matatizo ya akili duniani wanaishi kifungoni
Watu wenye matatizo ya akili duniani wanaishi kifungoni
Nigeria yasherehekea miaka 60 tangu ilipojipatia uhuru
Nigeria yasherehekea miaka 60 tangu ilipojipatia uhuru
Mji wangu: Abuja
Mji mkuu wa Nigeria ulio na shughuli nyingi Abuja ni miongoni mwa miji inayokua kwa haraka ulimwenguni. Pia ni kitovu cha harakati za kisiasa. Mwanablogu ambaye pia ni mwanaharakati kijana, Maryam Laushi, anatuonyesha mji wake huo.
Nigeria: Wafanyakazi na serikali wakubaliana kufuta mgomo
Mgomo wa wafanyakazi wafutwa Nigeria kufuatia makubaliana na serikali
Zaidi ya watu 200 wafariki kutokana na mafuriko Afrika
Mafuriko yaliyosababishwa na mvua kali yamewauwa watu 200 na kuwaacha wengine zaidi ya milioni moja bila makaazi.
Viongozi wa ECOWAS wamtaka Keita kurejea uongozini
Viongozi wa ECOWAS wamesema watatuma ujumbe nchini Mali katika juhudi za kubatilisha mapinduzi ya kijeshi nchini humo
Juhudi za kutafuta upatanishi Mali zagongwa mwamba
Juhudi za viongozi kadhaa wa Afrika Magharibi kuusuluhisha mzozo wa kisiasa nchini Mali zimegonga mwamba.
Wanajeshi 23 wa Nigeria wauwawa na genge la majambazi
Wanajeshi 23 wa Nigeria wauwawa na genge la majambazi
Rais Buhari kusaini muswada mpya wa bajeti kukabili corona
Rais Muhammadu Buhari kutia saini muswada wa sheria ya bajeti iliyorekebishwa ya dola za kimarekani bilioni 28.38.
Nigeria kuruhusu safari za ndege za ndani
Waziri wa Anga amesema safari za ndege nchini humo zitaanza baada ya kupunguzwa hatua za kuzuia kusambaa kwa COVID-19.
Familia za waliokuwa watumwa Nigeria zapinga ubaguzi
Kizazi cha watumwa Nigeria kinatarajia kuwa maandamano ya kutetea maisha ya watu weusiyatakomesha ubaguzi dhidi yao.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani 26.06.2020
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Kiongozi wa Ghana aiomba radhi Nigeria
Kiongozi wa Ghana aiomba radhi Nigeria
Nigeria: Kundi la Boko Haram lawaua watu 69
Watu 69 wameuwawa na wanamgambo wa Bokoharam kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Watoto katika ukanda wa Afrika Magharibi wako hatarini
Mashambulizi ya makundi ya wapiganaji yanatajwa kuathiri pakubwa elimu ya watoto
Hadithi za Afrika kupitia vibonzo vya Kiafrika
Guardian Prime, Powerboy na Commander Jade ni kati tu ya wahusika katika vitabu vya vikatuni vya Kiafrika. Wanapambana na uovu na kuokoa mji. Ni kazi ya kijana wa Nigeria anayetunga hadithi za Afrika kupitia vibonzo.
Jeshi la Niger lazuia mashambulizi ya Boko Haram
Niger yadai kumuua mmoja wa viongozi wa Boko Haram
Wapi zinakwendea fedha za kupambana na COVID-19 Afrika?
Tayari misaada ya kifedha na vifaa imeanza kumiminika barani humo kutoka kwa mataifa tajiri na mashirika ya misaada.
Flora Nwapa: Mama wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika
Flora Nwapa ni mwandishi wa kwanza wa kike wa Kiafrika kuchapisha kitabu kwa Kiingereza.
Flora Nwapa: Mama wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika
Mwandishi wa Kinaijeria Flora Nwapa ni mwanamke wa kwanza wa Kiafrika kuchapisha kitabu kwa Kiingereza. Kazi yake ilisafisha njia kwa wanawake wengine Afrika.
Flora Nwapa: Mama wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika
Mwandishi wa Kinaijeria Flora Nwapa ni mwanamke wa kwanza wa Kiafrika kuchapisha kitabu kwa Kiingereza. Kazi yake ilisafisha njia kwa wanawake wengine Afrika.
Nigeria kuanza kulegeza vizuwizi vya kutoka nje
Zaidi ya watu milioni 25 mjini Abuja, Lagos na jimbo jirani la Ogun wamezuiwa kutoka nje tangu Machi
Wapigajai jihadi 44 wapatikana wamekufa katika jela Chad
Washukiwa 44 wa kundi la Boko Haramu wakutwa wamekufa katika chumba walimofungiwa nchini Chad
Boko Haram yaua wanajeshi 150 wa Chad na Nigeria
Rais wa Chad Idriss Deby ameyataja mashambulizi hayo kuwa mabaya zaidi dhidi ya jeshi la Chad.
Maambukizi ya virusi vya Corona Afrika yaongezeka
Mataifa ya Afrika yaimarisha hatua za kupambana na mripuko wa virusi vya Corona
Mgonjwa wa kwanza Hamburg wa Corona ni daktari
Mataifa mengi zaidi duniani yaripoti visa vya virusi vya Corona
Kisa cha kwanza cha Corona charipotiwa Lagos,Nigeria
Saudi Arabia yachukua mikakati ya kujikinga na Corona
Pompeo aishambulia China kwa kuziwekea nchi maskini madeni
Mike Pompeo, ameishambulia China kwa kutoa mikopo na kuziwekea nchi maskini mzigo mkubwa wa madeni.
Usman dan Fodio: Mwanzilishi wa Ukhalifa wa Sokoto
Usman dan Fodio alilikosoa kundi la watu wa tabaka la juu na kubadilisha mfumo wa kisiasa kaskazini mwa Nigeria ya leo.
Usman dan Fodio: Mwanzilishi wa Ukhalifa wa Sokoto
Alikuwa ni mwalimu wa dini ya Kiislam aliyegeuka kuwa mwanamapinduzi: Usman dan Fodio, alikosoa mfumo wa kisiasa wa eneo linalojulikana leo kama kaskazini mwa Nigeria na kuanzisha Ukhalifa wa Sokoto.
Usman dan Fodio: Mwanzilishi wa Ukhalifa wa Sokoto
Vita vilivyoongozwa na dan Fodio vilichochea mapinduzi yaliyozaa Ukhalifa wa Sokoto uliodumu takriban karne moja.
Amina: Malkia shujaa wa Zazzau
Katika wakati ambapo wanaume ndiyo wakitawala, Amina, malkia wa Zazzau, aliongoza jeshi kubwa lilonyakuwa maeneo mengi.
Amina: Malkia shujaa wa Zazzau
Katika wakati ambapo wanaume ndiyo wakitawala, Amina, malkia wa Zazzau, aliongoza jeshi kubwa lilonyakuwa maeneo mengi.
Amina: Malkia shujaa wa Zazzau
Katika wakati ambapo wanaume ndiyo wakitawala, Amina, malkia wa Zazzau, aliongoza jeshi kubwa lilonyakuwa maeneo mengi.
Nigeria yawaonya raia wake dhidi ya kusafiri kuelekea China
Nigeria yawaonya raia wake dhidi ya kusafiri kuelekea China
Magaidi wauwana wao kwa wao Nigeria
Wanamgambo wa Boko Haram na wale wa kundi lijiitalo Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi walikabiliana kwa risasi.
Nigeria: Miaka 50 baada ya vita ya Biafra
Watu wanaendelea kuhisi athari za vita hivyo hadi hii leo, ingawa kila kitu hakipo kama inavyoonekana.
Kundi la wanamgambo la kiislamu lawauwa wanajeshi 31 Niger.
Wanamgambo wa kiislamu wameshambulia kambi moja ya kijeshi katika eneo la Magharibi mwa Niger na kuwauwa wanajeshi 31.
Polisi Nigeria wako katika hali ya tahadhari
Polisi Nigeria wako katika hali ya tahadhari
Nigeria yaifanyia mageuzi mikataba ya mafuta
Rais Buhari alitangaza Jumatatu
Misikiti tisa mashuhuri Afrika
Misikiti hii sio tu sehemu za ibada - bali pia ni majengo yenye usanifu wa ajabu.
Afrika Kusini yafunga ofisi zake za ubalozi Nigeria
Afrika Kusini imezifunga ofisi za ubalozi wake nchini Nigeria kwenye miji ya Abuja na Lagos.
Umoja wa Afrika walaani wageni kushambuliwa Afrika Kusini
Zambia yasitisha mechi ya kirafiki
Wanamgambo wauwa watu 11 karibu na Maiduguri Nigeria
Shambulizi limetokea katika kijiji cha Wajirko, umbali wa kilomita 150 nje ya mji mkuu wa jimbo la Borno-Maiduguri.
Boko Haram wauwa tena Maiduguri
Watu wengine wanane walijeruhiwa kwenye mashambulio mawili yaliyotokea katika mji wa Mafa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 21
Ukurasa unaofuatia