You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wasichana wa Chibok
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Vijana na teknolojia ya Akili Mnemba Nigeria
Vijana nchini Nigeria wanajituma kufanya ubunifu katika teknolojia hasa ya akili mnemba ili kupata ufumbuzi wa masuala mbalimbali kwenye jamii yakiwemo ya elimu, nishati, usalama, kilimo na huduma za afya. Makala ya Sema Uvume inaangazia hayo.
Wanamgambo 15 wauwawa katika msitu wa Sambisa Nigeria
Jumla ya wanamgambo 592 wameuwawa na jeshi la anga la Nigeria katika miezi minane iliyopita.
Watu 60 wafa katika ajali ya boti nchini Nigeria
Kwenye kadhia hiyo watu wengine kadhaa wameokolewa.
Watu 13 wamezama baada ya kukimbia mashambulizi Nigeria
Watu 22 wameopolewa huku wengine 22 wakiwa hawajulikani waliko.
Nchi 4 za Afrika kukosa chakula cha watoto wenye utapiamlo
Takribani nchi nne za Afrika zitakosa chakula maalum cha kuokoa maisha ya watoto wenye utapiamlo.
Watu wenye silaha waua watu wawili na kuwateka 100 Nigeria
Watu wenye silaha wamewaua watu wawili na kuwateka nyara wengine zaidi ya 100 katika shambulizi lhuko Zamfara, Nigeria.
Burkina Faso na Mali zakwepa mkutano wa ulinzi Nigeria
Niger ndio nchi pekee mwanachama wa AES iliyohudhuria mkutano wa wakuu wa ulinzi wa bara la Afrika mjini Abuja.
BurkinaFaso na Mali zasusia mkutano kuhusu ulinzi
-
Burkina, Mali zasusia mkutano wa ulinzi Afrika mjini Abuja
Maafisa wa ngazi za juu Afrika wanajadili mikakati ya pamoja kutafuta suluhisho la ndani kwa mahitaji ya ulinzi barani.
Jeshi la anga la Nigeria lauua magaidi 35 wa Boko Haram
Serikali ya Nigeria imekuwa ikijaribu kukabiliana na vurugu za makundi mbalimbali yenye silaha.
Nigeria yafukuza wageni 102 kwa uhalifu wa mtandaoni
Nigeria ina sifa ya kuwa na watu ambao ni matapeli mtandaoni wanaojulikana kwa jina maarufu nchini humo la "Yahoo Boys."
Hatma ya watu 40 haijulikani baada ya boti kuzama Nigeria
Watu zaidi ya 40 hawajulikani waliko baada ya boti kuzama Jumapili 17.08.2025 kaskazini magharibi mwa taifa la Nigeria.
Magenge ya wahalifu yaua maafisa 13 wa usalama Nigeria
Magenge ya wahalifu yamewaua maafisa wa usalama 13, katika jimbo la Zamfara kaskazini-magharibi mwa Nigeria.
Majambazi wawateka watu 60 Kaskazini Magharibi mwa Nigeria
Serikali ya Nigeria imekuwa ikipambana na makundi yenye silaha na yale ya itikadi kali.
Magenge yenye silaha yateka nyara zaidi ya watu 50 Nigeria
Mwelekeo huo wa utekaji nyara wa mamia ya watu unatia wasiwasi.
Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari azikwa
Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari amezikwa jana jioni kwenye mji alikozaliwa wa Daura.
Muhammadu Buhari: Urithi wa 'sifa na maumivu'
Kutoka kiongozi wa kijeshi hadi rais wa kidemokrasia, urithi wa Muhammadu Buhari wabaki kuwa wa sifa na lawama.
Buhari, Rais wa zamani wa Nigeria kuzikwa Daura
Mazishi ya rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari yanatarajiwa kufanyika Jumanne katika mji alikozaliwa wa Daura.
Makumbusho ya kuhifadhi taka yaanzishwa Nigeria
Fikiria unaingia katika makumbusho inayohifadhi sanaa iliyotokana na taka. Inapatikana huko Nigeria na imeanzishwa kwa malengo ya kushughulikia tatizo la taka mitaani.
Rais wa zamani wa Nigeria Muhammadu Buhari aombolezwa
Baadhi ya raia wa Nigeria wakosoa utawala wa Buhari kwa kushindwa kushughulikia maovu ya muda mrefu.
Nigeria yaomboleza kifo cha Muhammadu Buhari
Nigeria imeanza mipango ya kuurejesha nyumbani mwili wa rais wa zamani Muhammadu Buhari aliyeaga dunia nchini Uingereza.
Nigeria: Marekani inashinikiza Afrika kuwakubali Wavenezuela
Nigeria hata hivyo imesema haiwezi kuwahifadhi Wavenezuela wanaofukuzwa Marekani, kwa sababu ya matatizo yake yenyewe.
Wanajeshi wa Nigeria wawaua wiki hii majambazi wapatao 150
Majambazi hao waliokuwa kwenye msafara wa karibu pikipiki 350 na walikuwa wakielekea Niger.
WAFCON: Twiga stars ina miadi na Mali
WAFCON: Timu ya taifa ya wanawake ya Mali inatarajiwa kuvaana na Tanzania katika mechi ya pili ya Kundi C.
Boko Haram waua watu 9 na kujeruhi wengine Nigeria
Eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria limeshuhudia mamilioni ya watu wakiyakimbia makazi yao kufuatia matukio hayo.
Kijerumani kinavyoweza kuwa fursa kwa wauguzi wa Nigeria
Ujerumani ina maelfu ya nafasi za kazi, na ndio maana wauguzi kama Omolewa Iperepolu wanamiminika kujifunza Kijerumani.
Kagame akutana na rais wa zamani wa Nigeria
Ofisi ya rais Kagame mwenye umri wa miaka 67, ilikanusha uvumi kwamba alikuwa mgonjwa.
ECOWAS yasema inakabiliwa na ukosefu wa usalama wa kikanda
Rais Bio amesema muda umefika wa kushirikiana kikamilifu kiusalama, ikiwemo kuwa na kitengo cha pamoja cha ujasusi.
Takriban watu 10 wauawa katika shambulizi nchini Nigeria
Mshambuliaji wa kujitolea mhanga kufa nchini Nigeria alikuwa mwanamke.
Idadi ya waliouawa kaskazini-kati mwa Nigeria yafikia 150
Watu wengi waliouawa walikuwa wamejihifadhi katika soko la ndani baada ya kukimbia ghasia katika maeneo mengine.
Teknolojia za usaidizi kwa watu wenye ulemavu bado ndoto
Wito umetolewa kwa nchi za Afrika kuhakikisha huduma ya teknolojia ya kisasa inapatikana kwa urahisi kwa wote.
Mafuriko yasababisha vifo vya watu 200 Nigeria
Mabadiliko ya hali ya hewa yametajwa kusababisha hali hiyo nchini Nigeria
Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Nigeria yapindukia 151
Zoezi kubwa la uokoaji linaendelea nchini Nigeria kufuatia mafuriko ya kutisha yaliyosababisha vifo vya watu 150.
Watu zaidi ya 100 wafariki kutokana na mafuriko Nigeria
Watu 115 wamethibitishwa kufariki dunia baada ya mafuriko kuukumba mji wa kibiashara wa Mokwa katika jimbo la Niger huko
Wanamgambo wanane wanaoiunga mkono serikali wauawa Nigeria
Wanagambo wanane wanaopambana dhidi ya makundi ya siasa kali Nigeria wameuawa baada ya gari yao kukanyaga bomu.
Watu 30 wauawa Nigeria
Zaidi ya watu 30 wameuawa katikati mwa Nigeria kwenye maeneo ambako kawaida jamii za wakulima na wafugaji hushambuliana.
Ujerumani na Nigeria zikubaliana kuimarisha ushirikiano
Berlin inaiona Nigeria kama mshirika muhimu katika ukanda mzima wa Afrika Magharibi.
Nigeria: Je, Mswada wa jinsia unaweza kuleta mabadiliko?
Wanawake nchini Nigeria wanataka kutegewa nafasi zaidi ndani ya bunge la taifa.
Kurejea kwa Trump kwachochea taarifa potofu Afrika
Kurudi kwa Trump madarakani kwa mara ya pili kumechochea ongezeko la taarifa potofu kuhusu Afrika.
Washambuliaji wavamia kambi ya kijeshi Nigeria na kuua wanne
Kundi hilo pamoja na lile la Boko Haram yamezidisha mashambulizi kwenye kambi za kijeshi katika wiki za hivi karibuni.
Kanisa Katoliki: Papa Leo XIV atangaza sera za uongozi wake
Waumini hao walitumai kuwa Papa huyo ataendeleza misimamo ya kiliberali ya mtangulizi wake.
Amnesty: Watu 30 wauawa na wapiganaji wenye silaha Nigeria
Polisi wamethibitisha tukio hilo lakini lakini hawakutoa taarifa yoyote kuhusu vifo.
Nyama ya nyoka ni tamu na nzuri kwa afya
Unapomuona nyoka unamtazama kama adui yako? Kwanza tazama hii video unaweza kubadili mawazo, sababu ni kitoweo safi na muhimu kwa afya yako. Wataalamu wa lishe wanasema inaweza kukufanya kuonekana kijana daima sababu ina kolojeni nyingi na inaimarisha kinga ya mwili.
Nigeria: Wanajeshi wauliwa na wapiganaji wa kundi la IS
Uasi uliodumu kwa muda wa miaka 16 umegharimu maisha ya zaidi ya watu 40,000
Watu 26 wafariki Nigeria kufuatia mripuko wa bomu
Mashambulizi ya makundi ya itikadi kali yameongezeka hivi karibuni katika eneo hilo la Borno.
Wapiganaji wa itikadi kali wawauwa wakulima 14 Nigeria
Juhudi za uokoaji zaendelezwa Nigeria baada ya kuuawa kwa wakulima 14.
Watu wenye silaha wamewaua takribani watu 56 Nigeria
Watu wenyei silaha wamewaua takribani watu 56 Nigeria
Watu 17 wauawa Nigeria baada ya kushambuliwa na wafugaji
Miaka mingi mapigano baina ya jamii za wakulima na wafugaji yametatiza usambazaji wa chakula kaskazini mwa nchi hiyo.
Washambuliaji waua zaidi ya 50 katikati mwa Nigeria
Takriban watu 100 wameuawa katika kipindi cha chini ya wiki mbili, huku mashirika ya haki yakionya hali inaweza kuzidi.
Shirika la misaada ya kiutu OCHA kupunguza wafanyakazi 2,600
Shirika la Umoja wa Mataifa la misaada ya kiutu OCHA limesema linapunguza wafanyakazi 2,600 kutokana na uhaba wa fedha.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 21
Ukurasa unaofuatia