You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Vijana wanavyosherehekea sikukuu ya Pasaka
Ikisalia saa chache wakristo kote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka,vijana nao wanayo namna yao ya kushereheke
UN: Taliban wawakosesha kazi watu 3,300 wakiwemo wanawake.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limefanya mkutano wa dharura kuhusu hatua hiyo ya Taliban.
Guterres: Taliban iondoe zuio la wanawake kuajiriwa na UN
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuondolewa marufuku ya wanawake kuajiriwa na Umoja wa Mataifa huko Afghanistan.
UN kufanya mazungumzo na Taliban kuhusu wanawake
UN itafanya mazungumzo na Taliban kuhusu marufuku mpya ya wanawake kufanya kazi.
Wanawake wajitosa katika ubebaji wa samaki soko la Feri
Kazi ni kazi na mchagua jembe si mkulima ni miongoni mwa misemo inayohamasisha watu kutodharau au kubagua kazi, kwa sababu ukifanya hivyo matokeo yake ni umasikini na utegemezi kwa watu wengine. Misemo hii inawahusu wanawake walioamua kuizamia kazi ya kubeba samaki kwenye soko la Feri jijini Dar es Salaam, na kujipatia kipato kinachoambatana na heshima ya utu. #Kurunzi
Afghanistan: Wanawake waandamana kupinga marufuku dhidi yao
Zaidi ya wanawake 12 wameandamana magharibi mwa Kabul Afhganistan dhidi ya watawala wa Taliban kuwapiga marufuku shuleni
Blue Earth inavyotunza mazingira Mombasa
Wasiwasi wao kuhusu mabadiliko ya Tabianchi uliwasukuma kuchukua hatua ili kutoa mchango kupambana na changamoto hiyo, hivi sasa shirika la Blue Earth lililoasisiwa na wanawake watatu mjini Mombasa, linafanya zaidi ya kupanda mikoko katika harakati zake za uhifadhi wa mazingira. Ni #kurunziwanawake iliyoandaliwa na Ripota wetu wa Mombasa Fathiya Omar.
Sema Uvume: Wanawake na Teknolojia
Ikiwa bado tupo katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Sema Uvume leo inamulika kauli mbiu ya mwaka huu ya ubunifu na teknolojia katika kuendeleza usawa wa kijinsia na kutizama kwa ujumla matumizi ya teknolojia kwa wanawake na wasichana yakoje. Ungana na Sylvia Mwehozi.
Bunge la Uganda kuupigia kura muswada wa kupinga ushoga
Mwanachama wa kundi la LGBTQ anaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 jela.
Kupambana na ubaguzi ni swala la haki
Kupambana na ubaguzi ni swala la haki
Baraza la Usalama laomba ushauri wa kukabiliana na Taliban
Serikali ya Taliban imekuwa ikilaumiwa kwa kukandamiza haki za wanawake na wasichana tangu iliporejea madarakani.
Maendeleo ya harakati za wanawake nchini Ujerumani
Kwa miaka na dahari sasa dunia imekuwa ikipambana kuleta usawa wa kijinsia,nchini Ujerumani taifa lenye uchumi mkubwa barani Ulaya hali inatazamwa kwa jicho la tofauti.Je taifa hilo limefanikiwa kumuinua mwanamke? Sikiliza makala ya sura ya Ujerumani
Mwanamke anayetoa elimu ya uzazi kwa wasichana
Katika Kurunzi Wanawake leo tunamuangazia Beatrice Magani anayetoa elimu sahihi ya masuala ya uzazi kwa vijana wa kike. Amefanikiwa wasichana wengi kupitia vikundi ambavyo vinatengenezwa na vijana wenyewe katika maeneo mbalimbali hasa yale ya vijijini.
Sera ya kutetea haki za kina mama Ujerumani
Makala ya Sura ya Ujerumani mara hii inaangazia sera ya ndani na nje ya Ujerumani katika kutetea haki za akina mama na usawa wa kijinsia na maendeleo
Msichana Jasiri kutoka Marsabit, Kenya
Katika kipindi cha Msichana Jasiri, Michael Kwena anamuangazia Jillo Fugicha, Msichana Jasiri kutoka Marsabit, nchini Kenya ambaye ameanzisha Shirika la kijamii la kupambana dhidi ya Ukeketaji.
Burundi: Watu 24 washtakiwa kwa kujihusisha na ushoga
wanaoshiriki mahusiano ya jinsia moja.
UN. yaonya dhidi ya ukandamizaji wa wanawake Afghanistan
Umoja wa Mataifa watahadharisha kusitishwa misaada Afghanistan
Rais Samia aungana na Chadema kuadhimisha siku ya wanawake
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekuwa mgeni rasmi katika sherehe za siku ya wanawake duniani za Chadema.
Madhila dhidi ya wanawake walioko maeneo ya machafuko DRC
Harakati za kuwakomboa wanawake dhidi ya madhila ya ubakaji na unyanyasaji nchini Kongo zinaendelea.
Maandamano yahanikiza siku ya kimataifa ya wanawake
Maandamano ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake yamefanyika kote duniani kutetea haki zinazozidi kushambuliwa.
Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake duniani
Wanawake wanapanga kufanya maandamano makubwa kote ulimwenguni leo kutetea haki ambazo zinazidi kushambuliwa
Ulimwengu waungana kuadhimisha siku ya wanawake duniani
Umoja wa Mataifa umekiri kwamba makundi haya yanakabiliwa na vikwazo vingi, na kutoa mwito kwa ulimwengu kuchukua hatua.
Washukiwa wakamatwa Iran kuhusiana na sumu katika shule
Hali hii imewakasirisha wazazi ambao wamekuwa wakiishinikiza serikali kuchukua hatua haraka.
Vyuo vikuu Afghanistan vyafunguliwa bila wanawake
Utawala wa Taliban uliwapiga marufuku wanwake kusoma vyuoni kutokana na kukosekana kwa utaratibu wa kutenganisha jinsia.
Wasichana zaidi wa shule Iran walishwa sumu
Ripoti za vyombo vya habari zinasema wasichana wa shule nchini Iran kwa mara nyengine tena wamelengwa katika mashambuliz
Iran yawakamata 4 kwa shambulio la sumu katika shule
Mamlaka nchini Iran imewakamata leo watu wanne wanaoshukiwa kuhusika na shambulio dhidi ya mwanamke mmoja nje ya shule y
Uganda yapanga kutunga sheria mpya ya kupinga ushoga
Msichana Jasiri: Msichana anayetoa elimu shuleni na vyuoni juu ya kujitambua
Katika umri wa miaka 19 tu swaiba anathubutu kupita shuleni pamoja na vyuoni kuitoa elimu kwa wasichana wengine juu ya kujitambua. Hii si rahisi kwake lakini nguvu nyingi na masaada wake mkubwa unatoka katika jamii. Si rahisi kwa jamii yake kumuelewa lakini matumaini yake ni kuwafikia wasichana wengi na anatamani kuona wazazi wanaotoa elimu madhubuti juu ya kujitambua kwa vijana wao.
Mwanamke 1 hufariki kila baada ya dakika 2 kwa ujauzito
Umoja wa Mataifa umesema katika kila baada ya dakika mbili, mwanamke mmoja hufariki dunia kutokana na ujauzito.
Akina mama na ujumbe wa amani Mombasa
#KurunziWanawake leo inamulika wanawake wa Mombasa, Kenya ambao wametumia maonyesho ya utamaduni wa wapwani kueneza ujumbe wa amani kwa kauli mbiu ya “Amani ni Mama na Mama ni Amani“. Vidio ya mwandishi wetu wa Mombasa Halima Gongo inaeleza juhudi hizo. #kurunziwanawake
Ujerumani na juhudi za kuwa mwenyeji wa soka la wanawake
Ujerumani yameonesha nia ya kuunga mkono juhudi za kusaidia Ujerumani kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la Wanawake 2027.
Una tabia ya kujipima matiti?
Unafahamu nini kuhusu matiti ya mwanamke? Unafahamu kwamba unatakiwa kuyakagua kila mara ili kujua kama yako salama ama la? Unafahamu ni kwa nini yametofautiana ukubwa? Na unafahamu kwamba huwa yanabadilika kadri umri unavyobadilika pia? Kuna nini cha zaidi kwenye kiungo hiki cha mwanamke? Mtaalamu yuko hapa kutuambia kwa kina kwenye video hii.
Amnesty: Waasi wa M23 waliwabaka wanawake na wasichana
Waasi wa M23 wamekuwa wakifanya mashambulizi mashariki mwa kongo na kusababisha wengi kukimbia makazi yao.
Uhispania yapitisha sheria ya kubadilisha jinsia
Uhispania yapitisha sheria ya kubadilisha jinsia kwenye vitambulisho kwa watu waliozidi miaka 16
Unaufahamu vipi ukuta wa "pelvic floor"?
Unaufahamu vipi ukuta wa "pelvic floor"? Naam hivi ndivyo unavyoitwa kitaalamu. Una faida nyingi kiafya, kuanzia kwenye uzazi na afya yako kwa ujumla. Kwa mara nyingine tunakuunganisha na mtaalamu wetu hapa anayetuambia zaidi kuhusu kiungo hiki kinachoundwa na misuli na kutenganisha kizazi na eneo la utumbo. Tizama video hii fupi.
Bidhaa zipi ni salama kusafisha sehemu za siri?
Unapoingia madukani hukosi bidhaa za kutumia kusafisha sehemu za siri za mwanamke tena za aina mbalimbali! Ukisoma maelekezo ya bidhaa hizo utaona zimeandikwa jiweke safi, ama jiweke salama, ama tunza sehemu zako za siri kwa usalama na nyingi pia zikiwa zimeandikwa kwamba zimethibitishwa na wataalamu. Je ni salama kiasi gani? Yupo hapa mtaalamu akitueleze kwa kina.
Je umri unakuzuia kupata ujauzito?
Si jambo geni kuona wanawake wakijiuliza maswali mengi na hasa inapotokea wanachelewa kupata ujauzito. Wengi hujiona kama wasio na bahati, tena wakiona umri nao unakwenda. Lakini umri na uzazi vnashabihiana vipi? Je ukishavuka miaka 30 inakuwa vigumu kupata ujauzito? Na je kuna suluhu? Ungana na mtaalamu wetu kupata majibu ya maswali kama haya.
Unawafahamu vipi bakteria walindao sehemu za siri?
Je unajua kwamba sehemu za siri za mwanamke zinalindwa kwa kiasi kikubwa na wadudu aina ya bakteria ili zisipate maambukizi? Lakini bakteria hawa hata hivyo wamegawika, wengine wazuri na wengine ni wabaya. Utajuaje lakini? Tizama video hii fupi, tukikuunganisha na mtaalamu ujijuze zaidi.#Jinsia na Mwili
Nchi zipi duniani zinaongoza kwa idadi ya wabunge wanawake?
Kulingana na data kutoka IPU, zipo nchi sita ambazo idadi ya wabunge wanawake ni nusu ya wabunge wote.
Wanawake na Maendeleo : wanawake wa migodi ya Dhahabu jimboni Vihiga Kenya
Karibu kwenye Makala, Wanawake na Maendeleo leo, tukipigia darubini hali ya wanawake wa migodi ya dhahabu nchini Kenya, anayekukaribisha ni mimi Musa Naviye nikikusihi, uandamane nami hadi tamati.
Mbiu ya Mnyonge: masaibu ya wanawake wanaotafuta ajira Uarabuni
Wasichana na kina mama waliokuwa wameahidiwa na mawakala wao kwamba wangesafirishwa kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia wamekwama mjini Nakuru na wanadai kulaghaiwa na mawakala wao. Wakenya wanazidi kusafiri katika mataifa ya Mashariki ya kati kutafuta kipato, wakiwa na matumaini ya kuboresha maisha yao, licha ya tahadhari inayotolewa kufuatia ripoti chungu nzima za dhuluma na udhalilishaji.
Ndoa za utotoni na unyanyasaji vyaongezeka Ethiopia
Shirika la UNICEF, limefahamisha kuwa ndoa za utotoni, na unyanyasaji wa kijinsia umeongezeka nchini Ethiopia.
Fatema:Nitapambania afya ya jamii yangu
Fatema Juma mwanamke alinaepambania afya ya jamii kwa kutoa elimu ya lishe na mazoezi ili kupunguza uzito uliopitiliza.Ameamua kujikita katika hilo kutokana na yeye kuwahi kukumbwa na tatizo hilo ambalo lilileta athari kwa familia yake.Tazama video
Mtandao wa Mashirika 22 nchini Tanzania, watoa mapendekezo kuhusu ukeketaji
TANZANIA
Papa ashutumu ushoga kufanywa uhalifu
Papa ashutumu ushoga kufanywa uhalifu
Shirikisho la Riadha Duniani latoa mapendekezo
Shirikisho la Riadha Duniani latoa mapendekezo ya waliobadili jinsia
Wanawake, watoto waregeshwa kutoka kambi ya itikadi kali
Ufaransa yawarejesha nyumbani wanawake na watoto kutoka kambi ya itikadi kali
Umoja wa Mataifa wazuru Afghanistan
Mjumbe huyo wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa anazuru Afghanistan na atakutana pia na maafisa wengine mjini Kabul.
Wajumbe wa UN wawasili Kabul kushinikiza haki za wanawake
Wajumbe wa Umoja wa Mataifa wamewasili Kabul kwa mazungumzo na Taliban na kushinikiza haki za wanawake na wasichana.
Ukatili wa wasichana katika nchi za Asia
Serikali mpya ya Kenya imeonyesha juhudi za kukomesha ukatili unaotendewa wanawake wanaofanyakazi Mashariki ya Kati
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 22
Ukurasa unaofuatia