You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Benki ya Dunia yakemea sheria ya Uganda dhidi ya mashoga
Benki hiyo imesema hakuna ufadhili mpya utakaotolewa kwa Uganda hadi hatua za ziada na za ufanisi zitakapochukuliwa.
Nigeria yatolewa nje ya kombe la dunia la wanawake
Timu ya wanawake ya mpira wa kikapu ya Nigeria yatawazwa mabingwa wa FIBA Women's AFROBASKET mjini Kigali.
Marekani watupwa nje Kombe la Dunia na Sweden
Machozi kwa nyota wa Marekani Megan Rapinoe ambaye amecheza mechi yake ya mwisho kwenye mashindano ya Kombe la Dunia.
Nigeria yaaga Kombe la Dunia la Wanawake
Timu ya Soka ya Wanawake ya Nigeria imeliaga Kombe la Dunia baada ya kupoteza hatua ya mtoano dhidi ya England.
Nigeria nje, Uingereza yapeta Kombe la Dunia la Wanawake
Uingereza yasonga mbele hatua ya robo fainali Kombe la Dunia la Wanawake 2023.
Papa Francis awanyooshea mkono wapenzi wa jinsia moja
Papa Francis amesema Kanisa lipo wazi kwa kila mtu, wakiwemo wapenzi ya jinsia moja, lakini kwa kuzingatia sheria.
Sweden yawaondoa mabingwa watetezi Marekani
Sweden imewaduwaza Marekani kwa kuwafunga penalti 5 - 4 na kutinga robo fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake.
Uholanzi yatinga robo fainali kwa kuiondoa Afrika Kusini
Uholanzi sasa imeweka miadi na Uhispania baada ya kuhitimisha ndoto za Afrika Kusini kwa ushindi wa 2 - 0 mjini Sydney
Kombe la dunia la wanawake: Japan yazima ndoto za Norway
Japan yailaza Norway 3-1
Afrika yaweka historia Soka la wanawake duniani
Timu tatu kati ya nne za Afrika zimetinga hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la 2023. Nyingi kuliko ilivyowahi kutokea. Simba wa Taranga ya Morocco, Super Falcons ya Nigeria na Banyana Banyana ya Afrika Kusini wamelifanya bara zima kujivunia.
Kombe la Dunia la Wanawake limevutia wengi
Kombe la Dunia la Wanawake limevutia wengi kuliko michuano ya mwaka 2019 nchini Ufaransa.
Ofisi ya haki za binaadamu kufungwa Uganda
Ofisi ya haki za binaadamu kufungwa Uganda
FIFA yachunguza unyanyasaji kijinsia timu ya Zambia
FIFA yachunguza unyanyasaji kijinsia timu ya wanawake ya Zambia.
Wangui Waweru mfanyabishara na mfugaji wa Konokono Kenya
Wangui Waweru anapatikana kwenye mitandao yote ya kijamii na tovuti yake ni Golden Snails Farm and Organics Kenya.
Mauzo ya tiketi za Kombe la Dunia yamefikia milioni 1.6
Mauzo ya tiketi za Kombe la Dunia la Wanawake yamefikia milioni 1.6 katika mechi 38 za kwanza
Nigeria yaiangusha Ireland Kombe la Dunia la Wanawake
Timu ya soka ya wanawake ya Nigeria imeingia hatua ya mtoano wa michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake.
Mabingwa watetezi Marekani walenga kufuzu duru ya mtoano
Mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia kwa wanawake, Marekani, hapo Jumanne watakuwa wanaingia uwanjani kucheza mechi yao y
Uholanzi walenga kuikwepa Sweden raundi ya 16
Mechi nyengine muhimu katika kundi G Jumanne itawapatanisha Uholanzi na Vietnam ambao washaondolewa kutoka kwenye mashin
Nigeria yatinga raundi ya mtoano Kombe la Dunia
Nigeria Jumatatu wamefuzu kwenye hatua ya raundi ya 16 bora kwenye Kombe la Dunia la wanawake kwa mara ya tatu katika
Uswisi yasonga 16 bora, Ujerumani yalizwa na Colombia
Uswisi inasonga mbele wakati New Zealand wenyeji wenza wa michuano hiyo wakiondolewa sambamba na Ufilipino.
Ufaransa yaitandika Brazil, Sweden watinga hatua ya mtoano
Katika mchezo wa awali, Sweden walishinda bao 5-0 dhidi ya Italia na kusonga hatua ya mtoano ya Kombe la Wanawake.
Nigeria yawacharaza wenyeji Australia 3-2 Kombe la Dunia
Nigeria mguu mmoja ndani kutinga hatua ya 16 bora katika michuano ya Kombe la Dunia, wakiifunga Ireland tu wanafuzu.
Umoja wa Mataifa wahofia uvunjwaji haki za binaadamu Uganda
Umoja wa Mataifa unahofia kumekuwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu unaofanywa nan vyombo vya dola nchini Uganda.
Uhispania na Japan zafuzu hatua ya 16 bora Kombe la Dunia
Zambia, Costa Rica na Jamhuri ya Ireland zafungashwa virago Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA.
Kutana na wanawake madereva bodaboda Kampala
Wanawake wanajikita pia katika biashara ya uendeshaji bodaboda nchini Uganda. Katika mji Mkuu Kampala, baadhi ya wanawake wamepewa mafunzo ya sheria za usalama barabarani na ubunifu katika biashara hiyo.Tazama hii vidio ya mwandishi wetu Emmanuel Lubega!
Je, kiongozi mpya wa IPCC atakuwa mwanamke?
Wanachama wa IPCC, watakutana jijini Nairobi kuanzia Julai 25 hadi 28 ili kumchagua mwenyekiti mpya kati ya wagombea 4.
Saluni, maduka ya urembo yafungwa leo Afghanistan
Mamlaka ya Taliban yamepiga marufuku kufunguliwa maduka ya urembo, saluni kote nchini humo hatua hiyo iliopingwa vikali
Tunawezaje kuliboresha soka la wanawake?
Michuano ya Kombe la Dunia kwa wanawake inaendelea kupamba moto huko #NewZealand na #Australia. Licha ya kushuhudia soka la kiwango cha juu, bado linakabiliwa na changamoto kadha wa kadha zinazozuia kusonga mbele, huku wanawake wenyewe wakiwa moja ya visiki. Kulikoni? Tizama video hii kisha unipatie maoni yako. #KurunziLive, #FIFAWWC ⚽⚽⚽💪💪
Afghanistan: Wanawake waamriwa kufunga biashara za saluni.
Amri ya Taliban kuhusu kuzifunga saluni zinazoendeshwa na wanawake itawakosesha wanawake hao nafasi ya kujumuika pamoja.
Ujerumani yaicharaza Moroko 6-0 kombe la dunia la wanawake
Jonas Vingegaard wa Denmark ashinda mashindano ya mbio za baiskeli ya Tour de France mwaka huu.
Askari wanawake Afrika kujadili namna kukabiliana na uhalifu
Askari hao wanakutana wakati ambapo, uhalifu wa kuvuka mipaka na mipakani ukatajwa kuongezeka barani Afrika.
Caiceido awekewa matumaini katika kikosi cha Colombia
Caiceido awekewa matumaini makubwa katika kikosi cha Colombia
Kombe la dunia la wanawake laendelea kutimua vumbi
Wawakilishi wengine wa Afrika timu ya Zambia, ilichapwa mabao 5-kwa 0 na timu ya Japan, England waliwalaza Haiti bao 1-0
England wapata ushindi mwembamba dhidi ya Haiti
England wameanza kampeni yao ya kuwania Kombe la Dunia la wanawake kwa ushindi mwembamba.
Zambia yagaragazwa 5-0 na Japan
Marekani imeendeleza juhudi za kunyakua taji la tatu la Kombe la Dunia la Wanawake.
Uhispania yaanza vyema Kombe la Dunia la Wanawake
Mashuti 45 ya Hispania yaelekezwa lango la Costa Rica kwenye Kombe la Dunia Wanawake huku wakiutawala mchezo asilimia 81
Uchambuzi wa michuano ya kombe la kandanda la wanawake
Michuano ya kombe la dunia la kandanda la wanawake inaendelea huko New Zealand na Australia ambapo leo Nigeria imefanikiwa kutoka sare tasa na Canada katika pambano kali lililoishuhudia mchezaji wa Nigeria akionyeshwa kadi nyekundu.
Kombe la Dunia: Zambia itamkosa Chanda dimbani
Zambia imepata pigo kubwa siku moja kabla ya mechi yao ya kwanza ya michuano ya Kombe la Dunia.
Watu wanne wazuiliwa na polisi kwa kuwatembeza wanawake uchi
Watu wanne wazuiliwa na polisi kwa kuwatembeza wanawake uchi.
Namibia yapitisha sheria dhidi ya ndoa za jinsia moja
Mataifa barani Afrika yamekuwa yakipitisha sheria ya kupinga ndoa na mapenzi ya jinsia moja na kukosolewa na magharibi.
Michuano ya Kombe la Dunia la wanawake yaanza
Michuano hiyo ya tisa ya dunia ya soka la wanawake inaandaliwa kwa pamoja na New Zealand na Australia.
Timu nne za Afrika zashiriki Kombe la Dunia la Wanawake 2023
Timu nne za Afrika zinashiriki katika Kombe la Dunia la Wanawake mwaka 2023.
Kombe la Dunia la Wanawake kuanza kutimua vumbi
Marekani wanapigiwa upatu kushinda taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo katika tamasha hilo kubwa la mwezi mzima
DW Michezo 17.07.2023
Timu zafanya maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kung'oa nanga Kombe la Dunia la Wanawake Alhamis wiki hii // Bayern yaendelea kumuwinda Harry Kane, je, Spurs watamuachilia mshambuliaji huyo?// Na mende aangusha kabati katika mashindano ya tenisi ya Wimbledon
Soka: Ujerumani haitatishwa na Colombia
Ujerumani haitatishwa na Colombia katika michuano ya kombe la dunia la wanawake.
Iran yaanzisha msako wa wanawake wasiofunika vichwa vyao
Iran yaanzisha msako wa wanawake wasiofunika vichwa vyao.
Raisi ayalaumu mataifa ya Magharibi kuchochea ushoga
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amelaani kile alichokiita mitazamo ya nchi za Magharibi kuhusu ushoga.
FIFA yaruhusu bendera za jamii asilia kupepea kombe la dunia
Bendera za jamii za asilia kupepea katika kombe la dunia kwa wanawake huko Australia na New Zealand.
Nakshi za kudarizi zainua pato la wanawake Kongo
Huko Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kutengeneza na kushona darizi za nakshi husaidia wanawake walio katika mazingira magumu kupata kipato na kusaidia familia zao. Washonaji wote ni waathirika wa kutetereka kwa hali ya usalama katika taifa hilo la Afrika ya kati.
CAF yaingilia mzozo wa timu ya wanawake ya Afrika Kusini
Hatua hiyo inachukuliwa wakati wachezaji wakitarajiwa kuondoka leo kuelekea New Zealand kushiriki kombe la dunia.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 22
Ukurasa unaofuatia