You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tumeimarisha mfumo wa haki jinai na madai-Rais Samia
Wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya sheria, imesemaa sekta ya ardhi, masuala ya ndoa na utunzaji watoto bado ni tatizo.
Maelfu waandamana kupinga mauwaji ya wanawake Kenya
Maelfu ya watu waandamana kupinga mauwaji ya wanawake Kenya
Baerbock ataka msaada zaidi kwa wakimbizi wa Sudan Kusini
Baerbock asema mgogoro haufai kufumbiwa macho
Papa Francis atetea kuwabariki wapenzi wa jinsia moja
Papa Francis ametetea hatua ya hivi karibuni ya kanisa hilo kuidhinisha kuwabariki wapenzi wa jinsia moja.
Wabengali waandamana dhidi ya waliobadilisha jinsia
Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Bangladesh wakitaka watu waliobadili jinsia kutotambulika kwenye mtaala.
Mapambano ya kiuchumi kwa wasichana na wanawake
Kumuandaa mwanamke wa baadae ni kumuwekea mazingira bora msichana katika kila sekta ili kufikia malengo ya kujitegemea kiuchumi kwenye azma ya kuupiga kumbo umasikini inapofika 2030, lakini kutimiza hilo ni muhimu kumjumuisha kila mmoja, wasichana nao hawajabaki nyuma katika mbio hizo. Ungana na Mitchelle Ceasar katika video ya Msichana Jasiri.
Wanawake na Maendeleo: Chakula cha Kiswahili maarufu Oman
Salma Said anazugumzia jinsi utamaduni wa Waswahili unavyodumishwa nchini Oman kupitia mapishi na vyakula.
UN: Wanawake na watoto ndio waathirika wakubwa Gaza
UN: Wanawake na watoto ndio wanaokabiliwa na mzigo mkubwa katika vita hivyo na kulazimika kuhama mara kwa mara.
Maisha baada ya kufungwa jela
Maisha baada ya kufungwa jela huja na changamoto za kila aina. Maisha kifungoni ndani ya jela ni sawa na kipindi cha Giza totoro. Mwanamke anapofungwa jela mambo huvurugika nyumbani. Makala ya wanawake inajikita katika kuyaboresha maisha ya mwanamke baada ya kifungo jela
Wanawake ni wachache katika nafasi za juu Ujerumani
Utafiti huo umeleta aibu kwa serikali ya Kansela Olaf Scholz iliyotaka usawa wa kijinsia katika nafasi za uongozi.
Maaskofu Afrika wapinga kuwabariki wapenzi wa jinsia moja
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wa Afrika wamesema dhini ya Vatikani kuwabariki mashoga haikuwa sahihi
Kenya: Wanawake waongoza kwa uvuvi endelevu wa pweza
Nchini Kenya kundi la wanawake wanaovua samaki aina ya pweza wamekuwa mfano wa kuigwa baada ya kutunza shamba lao la samaki kwa ajili ya aina hiyo ya uvuvi, ambao umefanikisha kuwainua kiuchumi, kulinda mazingira na kupunguza uvuvi haramu uliosababisha idadi ya samaki kupungua.
Marekani yaitaka Burundi kuheshimu haki za binaadamu
Matafa mengi ya Afrika yameonyesha wazi kupinga mapenzi ya jinsia moja kwa kuanzisha sheria kali dhidi ya jamii hiyo.
Wasichana wachukua mwelekeo mpya wa ngoma za asili
Licha ya kutawala kwa muziki na midundo ya kisasa ambayo inawapagawisha watu wengi, lakini bado ladha ya ngoma za asili zimebaki kuwa pendwa miongoni mwa wengi. Wasichana wa kundi la Shine wanajifua kuunga'arisha muziki huo na kuutegemea kama ajira katika maisha yao ya baadae.
Mwanaharakati wa jamii ya LGBTQ nchini Uganda ashambuliwa
Wanaharakati nchini Uganda wamekuwa na hofu tangu taifa hilo lilipopitisha sheria mpya dhidi ya jamii hiyo.
Changamoto za marefa wa kike Pwani ya Kenya
Mabadiliko hayaepukiki, hususan katika ulimwengu wa soka, ambapo waamuzi wa kike, wenye ujasiri na vipaji, wanajitokeza kuingilia fani ya wanaume, wakionyesha kwamba soka ni mchezo wa kila mtu. Pamoja na changamoto nyingi, baadhi yao huko katika kaunti ya Kwale, nchini Kenya, wameonesha kwamba kuwa mwamuzi wa kike ni safari inayowezekana.
Zaidi ya watu 4,360 wameuawa nchini Syria mwaka 2024
Watu waliouawa ni raia na wapiganaji wa makundi mbalimbali kuanzia ya ndani hadi ya kigeni.
Rais Ndayishimiye ataka LGBTQ kupigwa mawe
Matamshi haya ya Ndayishimiye yanaonyesha kwamba taifa hilo na mengine ya ukanda huo hayataivumilia jamii ya LGBTQ.
Maaskofu wa Kikatoliki Afrika wapinga kuwabariki mashoga
Maaskofu wa Kikatoliki Afrika wamepinga agizo la Papa Francis la kuwabariki watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 28.12.2023
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Papa abariki mahusiano ya jinsia moja yasiofanana na ndoa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameidhinisha mapadri wa kanisa hilo kubariki wapenzi wa jinsia moja.
Wanawake wa Goma wanataka nini kwenya uchaguzi huu?
Wanawake wa Goma wanasema hawana haja na kingine kwenye uchaguzi huu zaidi ya kuwaomba watakaochaguliwa kuwaletea amani na utulivu. Hata wagombea nao wana miito kama hii. Ruth Alonga alituandalia video hii.
Idhini ya Papa wapenzi wa jinsia moja ina maana gani?
Idhini ya Papa wapenzi wa jinsia moja ina maana gani? Msikilize Askofu Methodius Kilaini wa jimbo katoliki la Bukoba.
Je, wagombea wanawake watabadili siasa za Kongo?
Uungwaji mkono kwa wimbi jipya la wagombea wa kike unaongezeka kuelekea uchaguzi wa Desemba 20 nchini DR Kongo.
Timu ya soka ya wanawake ya Uhispania yatajwa vinara duniani
Timu ya soka ya wanawake ya Uhispania yatajwa vinara duniani
Teknolojia inavyozidi kurahisisha mifumo ya kutuma fedha
Kwenye Sema Uvume, mara hii tunaelekea nchini Tanzania huko Visiwani Zanzibar ambako programu mpya ya simu Airpay ya kufanya malipo kwa njia ya kidigitali imezinduliwa. Lakini pia utasikia juu ya wanakijiji huko Kusini mwa India ambao sasa wanafurahia lugha yao kuwepo kwenye programu ya akili ya kubuni maarufu AI mtandaoni ambapo sasa wanaweza kupata taarifa muhimu za ugonjwa wa Kifua Kikuu.
Ukeketaji wa kitabibu watishia mafanikio yaliofikiwa Afrika
Wakati vitendo vya "ukeketaji" vikiharamishwa nchini Kenya, sasa vimekuwa vikifanyika katika vyumba vya siri.
Je, wanasoka wa kike wanapata mikataba inayowafaidi?
Soka la wanawake linatazamiwa kuwa tasnia itakayoleta mabilioni ya dola kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Biashara ndogondogo zinachangia 40% ya pato la ndani Afrika
Biashara ndogondogo zinachangia 40% ya pato la ndani Afrika
Bobi Wine akosolewa kubadili msimamo mapenzi ya jinsia moja
Bobi Wine anadai sheria kali dhidi ya mahusiano ya jinsia moja ilishinikizwa na Rais Yoweri Museveni kuubana upinzani.
Vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia Kenya
Mafanikio ya vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia yanaweza kupatikana pale wanawake na wanaume wanapojengewa uelewa.
Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Tanzania
Wanaharakati wanasema vita dhidi ya unyanyasaji wa wanawake inapaswa kupiganwa na jinsia zote.
Wanaharakati Cameroon wapewa tuzo ya Afrika-Ujerumani 2023
Tuzo ya Afrika ya Ujerumani 2023 inatambua kazi ya wanawake wa Cameroon katika kupigania amani na haki za wanawake.
Wanawake wa Cameroon washinda Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika
Vuguvugu hilo limehusika kutuliza mizozo katika mikoa inayozungumza lugha ya kiingereza nchini Cameroon
Sanaa ya kuchora na musiki katika kuokoa wasichana
Sanaa ya muziki inapitisha ujumbe kwa namna nyepesi kabisa miongoni mwa vijana, Je wasanii wanawakumbuka shabiki zao?
Mwanamke anaepambania wanawake kumiliki ardhi
Harakati za kupigania haki ya mwanamke kumiliki ardhi nchini Tanzania sasa zinaonesha mafanikio.
TAMWA: Miaka 36 ya utetezi wa waandishi habari wanawake
Katika kuadhimisha miaka 36 tangu kuasisiwa kwake, TAMWA imesema imefanikiwa kuwatetea waandishi habari wanawake.
Chukua hatua za kupinga ukatili wa kijinsia
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, bado jamii inakabiliwa na visa vya unyanyasaji dhidi ya kundi hili. Nini kifanyike ili hatimaye vitendo hivi viondolewe? Tizama video hii kisha utupe maoni yako
Maelfu waandamana kulaani dhulma dhidi ya wanawake
Maandamano hayo yalifanyika Uturuki, Italia, Ufaransa na nchi nyingine za Guatemala na Brazil.
Mtunisha misuli wa Tanzania anaetetea jinsia yake.
Mtazame mtunisha misuli aliyejizolea umaarufu mitandanoni nchini Tanzania baada ya kuzuka hoja na dhihaka kuhusu jinsia yake, Loveness Tarimo akitoa hakikisho la hali aliyonayo. Kwa majibu ya uhakika kuhusu jinsia yake tazama vidio ya Tatu Yahya wa Dar es Salaam.
Wanaharakati wapongeza kuwabatiza waliobadili jinsia
Wanaharakati wa haki za mashoga wamepongeza tamko la Vatican, lililotoa ruhusa ya kubatizwa kwa watu waliobadili jinsia
Jukumu la wanawake katika maeneo yenye migogoro
Katika maeneo yaliyo na mizozo wanawake wamekuwa wakifanya kazi muhimu katika mchakato mzima wa kuleta amani na usalama, lakini juhudi zao hazitambuliki kikamilifu. Wanawake na maendeleo inaangazia Jukumu la wanawake, kwenye kuleta amani na usalama katika maeneo yenye mizozo.
Wahudumu wa kike kwenye mabaa Wanadai Heshima na Utu
Huko Goma, Kivu ya Kaskazini wahudumu wanawake katika baa na kumbi za starehe wanakabiliwa na changamoto za kipekee.
Tanzania: Mauaji dhidi ya wanawake yaongezeka
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania LHRC kimesema idadi ya wanawake wanauwawa imeongezeka.
Vita vya Tigray vya waacha wanawake katika hali mbaya ya kuchanganyikiwa
Vita vya Tigray vinaweza kumalizika, lakini wanawake wengi bado wanakumbwa na hali mbaya ya kuchangayikiwa.
Idadi ya wanawake yaongezeka magerezani Afrika Mashariki
Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yanashuhudia ongezeko la wanawake kwenye magereza na vizuizi.
Wagombea wanawake ni wachache uchaguzi wa DRC - CAFCO
CAFCO imeelezea kusikitishwa na idadi ndogo ya wanawake waliokubaliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa Disemba 20.
Wanawake wa mashariki DRC wapiga hatua licha ya vita
Ruth Alonga anazungumza na miongoni mwa wale waliojikusanya kubuni na kushajiisha wenzao kwenye miradi ya maendeleo.
Mahakama India yakataa kuhalalisha ndoa za jinsia moja
Mahakama ya Juu ya India imekataa kuhalalisha la ndoa za jinsia moja.
Benki ya Dunia kuwalinda mashoga Uganda
Benki ya Dunia inakusudia kuhakikisha kuwa mashoga na waliobadili jinsia hawabaguliwi katika miradi ya taasisi hiyo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 5 wa 22
Ukurasa unaofuatia