You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wasichana wa sasa katika kuzienzi tamaduni zao
Katika safu yetu ya Msichana Jasiri, mjadala unaopewa nafasi unahusu. "Wasichana katika kuzienzi tamaduni zao."
Wasichana na wanawake wanavyotumia fursa ya teknolojia
Kuwekeza katika elimu ya teknolojia ya akili ya kubuni (AI) kwa wasichana sio tu kunafungua uwezo wao bali pia huchochea uvumbuzi na utofauti katika tasnia ya teknolojia kwa baadae. Taasisi ya LP digital kutoka Tanzania inafanya jukumu hilo la kutoa mwanga wa sayansi bunifu kwa wasichana.
Wahamiaji 107 wakiwemo wanawake na watoto wameokolewa Libya
Kulingana na ushuhuda wa baadhi ya wahamiaji, watu hao waliwekwa utumwani kwa karibu miezi saba.
Iraq kuwafunga miaka 15 wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
Mapenzi ya jinsia ni mwiko katika jamii ya kihafidhina ya Iraq, lakini hapakuwa na sheria ambayo ilitoa adhabu ya wazi.
25.04.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari asubuhi ya leo hapa
UN yaonya juu ya kitisho cha wanawake wanaouawa Honduras
Wanawake wamekuwa wakinyanyaswa na kutumiwa kama vifaa vya visa vya ngono nchini Honduras.
Dina Ekanga anatumia misumari kusimulia hadithi za kiafrika.
Misumari na nyundo kwa Dina zimekuwa nyenzo muhimu katika kusimulia hadithi zilizojaa changamoto, uzuri na upekee wa bara la Afrika, hasa taifa la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambako anatokea. Sanaa ya kipekee inayosimulia hadithi kwa namna ya kipekee.
Wanawake wenye ulemavu wajiunga na mchezo wa mpira wa mikono
Kutana na wanawake hawa wenye ulemavu waliamua kujiingiza kwenye mchezo wa mpira wa mikono na namna wanavyosakata mchezo huo.
UN: Vita vya Gaza vimewaathiri mno wanawake na watoto
Wanawake wengine wanaokadiriwa 8,000 wamekuwa wajane kutokana na vita hivyo kulingana na ripoti yxa Umoja wa Mataifa.
Polisi Australia yachunguza chanzo cha shambulizi la Sydney
Mtuhumiwa aliwauwa watu sita na kuwajeruhi wengine katika shambulizi la kisu kwenye jumba la maduka Australia.
Wasichana watatu wafariki baada ya boti la wahamiaji kuzama
Maafisa wa kikosi hicho cha walinzi wa Pwani wanasema meli tatu za doria zinaendelea kutawatafuta manusura zaidi.
Vatican yafananisha kubadilisha jinsia na kutoa mimba
Vatican ilisema kubadilisha jinsia na kubeba mimba ya watu wengine ni kinyume na ubinaadamu kama utoaji mimba.
Vatican yaendelea kupinga kubadilisha jinsia
Vatican imetangaza hii leo kwamba upasuaji wa kubadilisha jinsia na watu kubeba mimba kwa ajili ya wengine kuwa ni ukiuk
Griffiths: Vita vya Gaza ni "usaliti dhidi ya ubinaadamu"
Watu kwenye Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hali ngumu sasa kutokana na kukosa misada ya kutosa ya kiutu.
Kiongozi wa juu Afghanistan ataka uhusiano mzuri kimataifa
Serikali ya Taliban haijatambuliwa rasmi kimataifa tangu iliporejea madarakani Agosti mwaka 2021.
Wanawake wa Saudia wanavyozidi kuimarika
Nchini Saudi Arabia ambapo wanawake walizuiliwa kushiriki mambo mengi, hivi sasa wanazidi kushiriki kwenye shughuli mbalimbali kutokana na mageuzi yanayofanywa na mamlaka za taifa hilo. Lipi jipya? Tizama video hii fupi.
Mahakama Uganda yapigilia msumari sheria inayopinga LGBTQ
Kulingana na mahakama hiyo, sheria hiyo dhidi ya mashoga inalinda utamaduni na hadhi ya watu wa taifa la Uganda.
Wasichana wanavyosherehekea sikukuu ya Pasaka
Katika sikukuu ya pasaka kumekuwa na changamoto nyingi ambazo huwakuta wasichana pale wanapoenda kujivinjari katika viwanja tofauti tofauti lakini vipi wanaweza kuepukana na hayaWasichana wanavyosherehekea sikukuu ya Pasaka
Saudi Arabia kuongoza kongamano la haki za wanawake
Saudi Arabia ilishika nafasi ya 132 kati ya 146 katika ripoti ya usawa wa kijinsia ya Jukwaa la Kiuchumi la Dunia, 2023.
Uhaba wa vifaa wachochea ongezeko la vifo vya watoto Kenya
Asilimia 60 ya hospitali 67 za kaunti 11 nchini Kenya hazina vifaa vya msingi vya kutoa huduma za uzazi.
Programu ya simu DigiCow yaleta mapinduzi kwa wafugaji
Peninah Njeri ambae anazitambua changamoto zinazowakabili wafugaji wa ngo'ombe wa maziwa nchini Kenya, ameunda jukwaa la kidijitali ambalo linatoa habari na rasilimali muhimu katika masuala ya ufugaji. DigiCow, imeleta mapinduzi makubwa kwa wafugaji na sasa takriban wafugaji 60,000 barani Afrika wanategemea jukwaa hilo kwa ufugaji wa kisasa.
Raia wa Rwanda Nshimiye ashitakiwa kwa mauaji ya kimbari
Nshimiye ameshitakiwa kwa makosa ya habari za uwongo, kuzuia utekelezwaji wa haki na kudanganya chini ya kiapo.
Miili mitatu ya wakimbizi wa Rohingya yaokolewa baharini
Wavuvi na kikosi cha uokozi awali walifanikiwa kuwaokoa watu 75 waliokuwa kwenye boti hiyo siku ya Alhamisi.
Afghanistan yawazuia wasichana kutoendelea na shule
Shule nchini Afghanistan zimefunguliwa kwa mwaka mpya wa masomo hii leo, huku wasichana wakilalamika kwa miaka mitatu mf
Wasichana jitokezeni kwenye sayansi na teknolojia
Miriam ameona ombwe la wasichana kujitosa katika masomo ya sayansi, kwa nafasi yake mbali na kuwa katika masuala ya sayansi na teknolojia, lakini pia amekuwa muhamasishaji kwa wasichana wengine kujitokeza katika sekta hiyo.
Msichana mdogo anayefanya harakati za kutunza mazingira
Sheila Juma ni msichana mdogo anaeendesha harakati za mwanmake kulinda mazingira kupitia taulo za kike.
Wanawake wajawazito Haiti hatarini kukosa huduma za afya
Makundi ya wahalifu, yanadhibiti sehemu kubwa ya mji mkuu pamoja na barabara zinazoelekea katika maeneo mengine ya nchi.
Maelfu ya wanawake waandamana Kongo kupinga vita
Maelfu ya wanawake waliovalia mavazi meusi waliandamana jana, kushinikiza amani mashariki mwa Kongo.
UNICEF: Ukeketaji wanawake waathiri wanawake milioni 230
Ufaransa yaidhinisha uaviaji mimba.
Siku ya wanawake: Wanawake Kongo watoa wito wa amani
Wakati wanawake duniani kote wakiwa wanatafakari juu ya namna mataifa yalivyopiga hatua kumnyanyua mwanamke katika nyanja mbalimbali, kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni tofauti, wanawake wanatoa wito kwa dunia kuliangalia taifa lao na kufikia muafaka wa amani.
UNICEF: Wanawake milioni 230 ni manusura wa ukeketaji
Lakini ripoti hiyo pia iliangazia maendeleo yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya ukeketaji kwenye maeneo mengine.
Fadia: Nimekatwa mikono, nimegeuka tegemezi kwa familia
Kutokuwepo na usawa wa kijinsia na ubaguzi dhidi ya wanawake na wasichana ni ukatili unaopaswa kushughulikiwa. Ni maneno ya Fadia ambae alikatwa viganja vya mikono yake na aliekuwa mumewe, ambae mahakama ilimkuta na hatia na kumfunga miaka 13 jela, lakini kwa Fadia ambae alikuwa anategemewa na familia, sasa amekuwa tegemezi maisha yote yaliobakia.
Wanawake Kongo wamtaka Rais Tshisekedi kukomesha ukatili
Vita vinaendelea kusambaa katika baadhi ya maeneo mkoani Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa Ghana kuisubiri mahakama muswada dhidi ya mashoga
Rais wa Ghana amesema atasubiri uamuzi wa mahakama kabla ya kuchukua hatua kuhusu muswada dhidi ya mashoga
Wanawake wakulima wanakabiliwa na athari za kimazingira
Wanawake wakulima wanakabiliwa na athari za kimazingira
Ujerumani yachukua nafasi ya tatu Ulaya na kufuzu Olimpiki
Timu ya taifa ya kandanda ya Ujerumani kwa wanawake, imejikatia tiketi ya kushiriki mashindano ya mwaka huu ya Olimpiki
UN yaitaka Taliban kuondoa sheria kandamizi kwa wanawake
Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Taliban kuondoa sheria kandamizi ikiwa ni pamoja na marufuku ya elimu.
UN waitaka Taliban kuondoa sheria zinazokandamiza wanawake
Wajumbe wamehimiza ushiriki wa wanawake katika masuala ya kisiasa na kijamii hasa katika ngazi ya kufanya maamuzi.
HRW: Wasichana waliojifungua waacha shule Msumbiji
Wasichana wajawazito au wenye watoto nchini Msumbiji, hulazimika kuacha shule kutokana na kukabiliwa na vikwazo.
Mbunge ataka kifungo wapenzi wa jinsia moja kuondoshwa Ghana
Afenyo-Markin amelitaka bunge kuondosha hukumu ya kifugo cha jela kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
Ugiriki yapiga kura kuhalalisha ndoa za jinsia moja
Wabunge 176 kutoka vyama tofauti katika bunge lenye viti 300, walipiga kura jana jioni kuunga mkono muswada huo.
Wanawake waandamana kutaka vita kukomeshwa DRC
Mamia ya wanawake walimiminika kwenye mitaa ya Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakitaka vita vinavyoendelea Mashariki mwa DRC vikomeshwe.
Wanawake waandamana kupinga machafuko Kongo
Waandamanaji walibeba mabango yaliyo na ujumbe wa "wahanga milioni 12 tangu 1994, waoneeni huruma wanawake na familia.
Wagiriki waandamana kupinga ndoa za jinsia moja
Wagiriki waandamana kupinga ndoa za jinsia moja
Changamoto ya ubaguzi wa kijinsia katika soka la Tanzania
Changamoto ya ubaguzi wa kijinsia katika soka kwa waamuzi wa soka wanawake wa Tanzania
Ufafanuzi: Hali ya ukeketaji barani Afrika
Umoja wa Mataifa una lengo la kukomesha kabisa mila ya ukeketaji mwishoni mwa muongo huu. Lakini je, Afrika inasonga mbele katika kumaliza aina hii ya ukatili, ambao unaathiri wanawake takriban milioni 200 duniani kote?
Madhila ya wanawake wa Rohingya katika kambi za Bangladesh
Hadithi za wanawake hawa kwenye kambi zinaonesha mahitaji makubwa ya msaada wa kisheria na ushauri nasaha waliyonayo.
UNCEF yasema watoto 17,000 Gaza hawana ndugu wa karibu
Shirika la UNICEF lasema watoto 17,000 Gaza hawako na wazazi au ndugu zao wanaodhaniwa kuuawa, kujeruhiwa au kuhama.
Papa Francis: Naelewa upinzani wa kubariki ushoga Afrika
Papa Francis amesema anaelewa upinzani wanaopata makasisi wa Afrika kubariki wapenzi wa jinsia moja.
Tumeimarisha mfumo wa haki jinai na madai-Rais Samia
Wakati Tanzania ikiadhimisha siku ya sheria, imesemaa sekta ya ardhi, masuala ya ndoa na utunzaji watoto bado ni tatizo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 22
Ukurasa unaofuatia