You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Urusi yatumia wanawake wa Kiafrika kutengeneza droni
Karibu wanawake 200 kutoka barani Afrika, wanatumiwa na Urusi kuunda droni zinazotumika kuishambulia Ukraine.
Kutana na wanawake mabaharia Tanzania
Makala ya wanawake na maendeleo ya DW inajikita zaidi katika kuwaangalia mabaharia wanawake ambao wameamua kufanya kazi hiyo na kuachana na dhana ya kazi hiyo kuwa ya kiume. Ungana na Anuary Mkama kwa mengi zaidi.
Je, ni salama kujamiiana wakati wa ujauzito?
Zifahamu faida za kiafya za kufanya tendo la ndoa wakati wa kipindi cha ujauzito.
Harris amshambulia Trump na kumtaja kama tishio kwa wanawake
Wapiga kura sita wanawake kati ya kumi wanamuamini Kamala Harris zaidi ya Donald Trump linapokuja suala la utoaji mimba.
Mfahamu Dinales, msichana anayetoa elimu ya Tehama
Kutokana na idadi ndogo na muamko wa wasichana kujifunza juu ya tehema imekuwa sababu ya Dinales kuwafundisha wasichana wengine juu ya umuhimu wa tehama na matumizi ya teknolojia japo si rahisi kwa jamii kumuelewa lakini matamanio yake makubwa nikuona idadi ya wasichana inaongezeka katika kada hii kadhalika na uelewa mkubwa katika matumizi ya teknolojia.
Ni vipi uvuvi na uchakataji dagaa unanawiri Kigoma?
Uchumi wa buluu husaidia kundi kubwa la wanawake kiuchumi. Nchini Tanzania, licha ya hofu ya mabadiliko ya tabia nchi na majanga yake, wanawake kutoka Kigoma wanapiga hatua kujijenga kiuchumi kutokana mazao ya baharini ikiwemo dagaa.
Afisa wa UN asema wanawake wakimbizi Sudan wanahitaji ulinzi
Laila Baker, mkurugenzi wa UNFP alikuwa Sudan kujionea hali ya wakimbizi wa ndani.
Sumaiyya: Malkia wa barabara Zanzibar
Je, unaweza kubadili fani yako ulioipenda katikati mwa kilele kufuata fursa ya fedha na utofauti? Mtazame Sumaiyya alieipa kisogo taaluma ya habari na mawasiliano kwa ajili tu ya kufata fursa na utofauti.
Moto wazuka katika shule ya wasichana ya Isiolo, Kenya
Moto wazuka shuleni Isiolo siku mbili baada ya bweni kuteketea katika shule ya msingi ya Hillside Endarasha
Papa: Kanisa nchini Papua New Guinea liwasaidie wanawake
Papa Francis amelirai kanisa kuwaweka karibu wanawake waofanyiwa vitendo vya kikatili nchini Papua New Guinea.
Wanaharakati wataka serikali ikomeshe mauaji ya wanawake
Wanawake 725 wamekufa nchini Kenya katika mauaji yanayohusiana na ukatili wa kijinsia.
Wanaharakati wataka mauaji ya wanawake yakomeshwe Kenya
Wito huo umetolewa baada ya kifo cha mwanariadha Rebecca Cheptegei kilichotokea baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake.
Wanawake na Maendeleo
Bi. Asawar Mustafa, mwanamke mkimbizi kutoka Sudan anayefanya kazi ya ufundi wa magari nchini Libya amefanikiwa kwa vitendo na kuonesha kwamba mwanamke pia anaweza kuwa fundi gereji hodari na kwamba kazi hiyo si ya wanaume pekee. Makala hii imeandaliwa na Zainab Aziz.
Kesi ya ubakaji yaendelea kuunguruma nchini Tanzania
Huko nchini Tanzania wakati kesi ya watuhumiwa wanne kwenye kesi ya kumbaka na kumlawiti binti mmoja ikiendelea katika mahakama ya hakimu mkaazi mjini Dodoma, mahakama hiyo imetoa wito wa kufika mahakamani kwa mwanamke mmoja kwa jina la Fatma Kigondo anayelalamikiwa kwa kosa hilo hilo la kubaka kwa kundi. Mwenzetu Deo Kaji kutoka Dodoma Tanzania alituandalia ripoti kamili.
Polisi Kenya yatangaza zawadi kwa muuaji alietoroka
Idara ya upelelezi DCI hata hivyo haikutaja kiwango cha zawadi hiyo ya pesa.
Tanzania: Vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake vikomeshwe
Visa vya dhuluma za kijinsia zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara na wakati mwingine wanaharakati wa haki za binadamu wanashinikiza hatua zaidi kwa vitendo vya dhuluma hasa kwa makundi ya wanawake wasichana na watoto. Baadhi ya vijana wanasema malaka hazijafanya vya kutosha kukomesha vitendo hivyo.
Mshukiwa wa mauaji Kenya, atoroka mahabusu
Mshukiwa wa mauaji ambaye polisi nchini Kenya wanadai alikiri kuwaua wanawake 42 nchini humo Collins Jumaisi ametoroka katika seli ya polisi ya Gigiri mjini Nairobi pamoja na washukiwa wengine 12. Jumaisi alikamatwa mwezi uliopita baada ya kugunduliwa miili ya wanawake iliyokatwakatwa katika dampo la taka la Kware. Babu Abdallah alizungumza na mchambuzi wa usalama dokta Patrick Mutai juu ya hili.
Wanawake na Maendeleo: Jeniffer Shigoli mtetezi wa haki za wanawake na mabinti
Jeniffer Richard Shigoli ni mwanaharakati anaesimamia masuala ya usawa wa kijinsia kupitia kampeni yake ya 'Binti Huru' anawasaidia watoto wa kike walio shuleni waweze kuepukana na vikwazo vitokanavyo na hedhi sabamba na kutoa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake walio katika mazingira duni ili waweze kuepukana na umasikini.
Taliban yatimiza miaka 3, wanawake wakizidi kukandamizwa
Wanawake nchini Afghanistan wakabiliwa na ukandamizwaji mkubwa wa haki zao tangu Taliban iliporejea madarakani.
Rais wa zamani wa Argentina ashutumiwa kwa unyanyasaji
Alberto Fernandez anasema kwamba hajatenda makosa yoyote.
Timu ya soka ya wanawake ya Ujerumani yabeba medali ya shaba
Alexia Putellas wa Uhispania alipoteza nafasi ya kuipeleka mechi katika muda wa ziada baada ya kukosa penalti .
Changamoto za uzazi wa mpango nchini Sudan Kusini
Makala ya afya yako inatizama changamoto za upangaji uzazi kwa kundi kubwa la wanawake na wasichana wa Sudan Kusini.
Ukatili wa kingono katika vita vya Sudan
Mbiu ya Mnyonge hivi leo inalia na wanawake wa Sudan wanaoandamwa na ukatili wa kingono katikati mwa balaa la vita.
Bulgaria yapiga marufuku uhamasishaji LGBTQ+ skuli
Serikali ya Bulgaria imetangaza marufuku ya ujumbe wowote wenye maudhui ya mapenzi ya jinsia moja kwenye skuli.
Olympics 2024: Marekani inaongoza jedwali la medali
Marekani imeipiku China iliyokuwa kinara na sasa iko nafasi ya pili ikiwa na jumla ya medali 58 ikifuatiwa na Australia.
Tuzo za fasihi na waandishi wanawake wa Kiafrika
Tuzo ya Fasihi ya Safal-Cornell inakaribia kutimiza miaka 10 tangu ilipoasisiwa mwaka 2014 na washindi wake wa kwanza kutangazwa mwaka 2015. Tuzo hiyo imevutia ushiriki wa maelfu ya wanafasihi kwenye mataifa yanayozungumza Kiswahili. Mohammed Khelef anazungumza na Anna Samuel, mshindi wa kwanza aliyeizindua tuzo hiyo ya riwaya yake ya Penzi la Damu, juu ya safari ya mwandishi wa fasihi.
Michuano ya Michezo ya Olimpiki Paris 2024 yaendelea
Jumla ya medali 18 za dhahabu zilishindaniwa Jumatano katika mashindano ya michezo mbalimbali.
Human Rights Watch yaishtumu RSF kwa dhulma za kingono Sudan
Matukio ya ubakaji na vurugu za kijinsia haviripotiwi ipasavyo kwa hofu ya waathirika kulipiziwa kisasi.
Kandanda la wanawake Olimpiki laanza rasmi Alhamis
Mechi za kandanda katika michezo ya Olimpiki zinaanza Alhamis huku timu 12 tofauti zikicheza mechi zao katika viwanja to
Saudi Arabia: Visa vya watu kunyongwa vyaongezeka maradufu
Ukosefu wa uwajibikaji na hukumu za kiholela vinachangia katika ongezeko hilo, kwa mujibu wa waangalizi.
Miili ya watu 8 yagunduliwa kwenye dampo la takataka Nairobi
Polisi nchini Kenya wamegundua miili ya wanawake 8 iliyokuwa imetupwa kwenye dampo la taka jijini Nairobi
Wanawake wakatwa katwa na kutupwa dampo Nairobi
Polisi nchini Kenya imeanzisha uchunguzi baada ya miili sita ya wanawake kukutwa kwenye dampo la mjini Nairobi.
Wabunge nchini Gambia waunga mkono ripoti dhidi ya ukeketaji
Wabunge 35 wamepiga kura kuidhinisha ripoti dhidi ya ukeketaji wanawake nchini Gambia.
Jenerali jeshi la Ujerumani ataka wanawake watumikie jeshi
Inspekta mkuu wa majeshi ya Ujerumani amependekeza wanawake kujumuishwa kwenye sheria ya kutumikia jeshi kwa lazima.
Unajua namna Yoga inavyoweza kukusaidia kiafya?
Nina uhakika unajua kitu kuhusu mazoezi ya Yoga, lakini unajua umuhimu wake kiafya? Kuna mengi unayoweza kujifunza ama kumshirikisha mwenzako kuhusu mazoezi haya. Tizama video hii kujifunza zaidi. #Kurunzi
Taliban: Haki za wanawake wa Afghanistan ni suala la ndani
Taliban: Haki za wanawake wa Afghanistan ni suala la ndani
Taliban yakosolewa kuwatenga wanawake katika mazungumzo UN
Taliban yakosolewa kwa kuwatenga wanawake katika mazungumzo na UN.
Dalili za tatizo la PCOS kwa wanawake
Wanawake wengi wenye ndevu ama nywele za usoni wanakabiliwa na matatizo ya kiafya ya PCOS yanayohusiana na homoni. Dalili nyingine za PCOS ni kuongezeka uzito, uso wenye mafuta na ugumu wa kubeba ujauzito. #kurunziafya #wanawake #pcos #afya
Vizuizi dhidi ya wanawake vyazidi kuitenga Afghanistan
Tangu kurejea madarakani mwaka 2021 Taliban haijatambuliwa rasmi na imekuwa ikitumia sheria kali ya Uislamu.
Namibia yafuta sheria za marufuku kwa mapenzi ya jinsia moja
Mahakama Kuu ya Namibia imezifuta sheria za enzi za ukoloni ambazo zilikuwa zikipiga marufuku mapenzi ya jinsia moja.
Madonda yasiyopona kwa Wanawake wa Tigray
Vita katika eneo la Tigray vimewaathiri pakubwa wanawake wa Ethiopia wakipitia madhila chungumzima ikiwemo ubakaji, kukatwa viungo vyao vimewafanya kubeba maumivu yasiopona katika maisha yao yaliosalia hapa ulimwenguni. Wanataka haki itendeke miongoni mwa waathirika wa ukatili wa kijinsia katika maeneo ya mizozo na vita.
Monica Pereira ni DJ na mwalimu kutoka Cape Verde
Monica Pereira amevutia hisia za watu wa Cape Verde kwa kuwa maarufu kama DJ na mwalimu. Mapenzi yake ya muziki na hitaji la kupata pesa ndio sababu zilizomfanya aingie kwenye vilabu vya usiku, eneo ambalo bado linatawaliwa na wanaume nchini humo. Ebu tazama vidio na umpe neno mpambanaji huyu.
Wapigania haki wamsihi rais wa IOC kuondoa marufuku ya hijab
Makundi ya Haki za Olimpiki yamsihi rais wa IOC kuondoa marufuku ya hijab
Amnesty yalishutumu jeshi la Nigeria kwa ukiukwaji wa haki
Jeshi la Nigeria lalaumiwa kuwazuilia kinyume cha sheria wasichana na wanawake waliotoroka mikononi mwa Boko Haram.
Wanaume ruksa kuwasindikiza wanawake leba Tanzania
Hospitali ya KCMC Tanzania imezindiua wodi maalum zinazoruhusu mwanamke kujifungua huku akiwa na mwenza wake.
Sheinbaum atarajiwa kushinda uchaguzi Mexico
Mgombea wa serikali Claudia Sheinbaum anatarajiwa kushinda uchaguzi wa rais nchini Mexico.
Hedhi salama bado ni changamoto kwa wasichana
Hapo kabla ilikua ni nadra kulizungumzia suala la hedhi hadharani lakini muda inavyozidi mambo kuwekwa wazi hili linawapa nafasi wasicha kuzungumza suala hili kwa uwazi zaidi. #MsichanaJasiri
Kurunzi Live Hedhi Salama Day
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya Hedhi Salama, bado wasichana na wanawake wengi wanakabiliwa na changamoto mbalimbali wanapofikia kwenye siku hizo. Je kipi kifanyike kuwasaidia? Tizama video hii kisha utuambie.
Kwa nini wanaume wengi hawatafuti msaada wa afya ya akili ?
Katika mwezi huu wa kuhamasisha jamii kuhusu afya ya akili, swali linalozidi kuibuka ni: kwa nini wanaume wengi hawatafuti msaada wa afya ya akili? Kulingana na wataalamu wa saikolojia, inaonekana kuwa wanawake wengi wanagunduliwa na matatizo ya afya ya akili ikilinganishwa na wanaume. Lakini, ni nini hasa kinachosababisha tofauti hii ?
Khamenei aongoza ibada za kuaga miili ya Raisi na maafisa
Viongozi hao walikufa kwenye ajali ya helikopta wakitokea kuzindua bwawa kwenye mpaka na Arzebaijan.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 22
Ukurasa unaofuatia