You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UN yawataka Taliban waondoe marufuku ya elimu kwa wasichana
Taliban walichukua mamlaka mwaka 2021 baada ya wanajeshi wa Marekani na jamii ya kujihami ya NATO kuondoka nchini humo.
Wasichana waliopata mimba kurejea shule nchini Kenya
Wasichana waliopata mimba sasa wanapata fursa ya elimu baada ya shirika la CIFF kuendesha mradi wa kuwarejesha shule.
Ujerumani yawasilisha ombi la Euro 2029 kwa wanawake
Ujerumani inaungana na mataifa mengine matano ambayo tayari yalikuwa yametangaza nia hiyo.
Ipi nafasi ya mwanamke linapokuja suala la uzazi?
Katika jamii nyingi barani Afrika, wanawake wanashinikizwa kuanzisha familia. Siku ya Kimataifa ya Wanawake inapokaribia, tunaangazia jinsi mitazamo dhidi ya wanawake inavyobadilika. DW ilizungumza na baadhi ya wanawake katika nchi kadhaa za Afrika. #kurunzi
Haki za wanawake hatarini miaka 30 tangu azimio la Beijing
Vitisho hivi ni pamoja na ubaguzi, ulinzi dhaifu wa kisheria, na upungufu wa ufadhili kwa taasisi za kulinda wanawake.
Je, Afrika imefikia lengo la usawa wa kijinsia?
Ingawa maendeleo yamepatikana kuelekea usawa wa kijinsia katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii barani Afrika, bado kuna jitihada zaidi zinahitajika kufikia lengo katika ulimwengu unaobadilika.
Lesotho yafedheheshwa na tamko la Trump la kutoitambua
Lesotho imesema kwamba kauli hiyo ya Rais Trump ni matusi na kebehi kwa taifa lake.
UN: Haki za wanawake ziliendelea kukandamizwa ulimwenguni
Wanaharakati wameendeleza juhudi za kila aina za kuhakikisha wanawake wanapata haki zao za msingi.
Mali yasitisha kutowa vibali vya uchimbaji madini kwa wageni
Baraza la mawaziri lilipitisha uamuzi wa kufuta utoaji wa vibali vya uchimbaji madini kwa wachimbaji wasiokuwa rasmi.
Vijana na mitindo isiyojali jinsia
Kumekuwepo na mabadiliko makubwa kwenye mitindo ya uvaaji kote ulimwenguni. Katika nyakati hizi huwezi kushangaa kumuona msichana amevaa pengine raba ambazo pia anavaa mwanaume, na kwa upande wa wanaume pia huwa ni hivyohivyo. Je, nini kimesababisha hali hii, na je wewe ni mmoja wapo? Karibu usikilize makala hii ya Vijana Mchakamchaka, usikie wenzako wanasemaje?
Msichana Jasiri - Sarafina Simioni - Mwanaharakati wa Jinsia
Katika jamii inayotawaliwa kwa sehemu kubwa na mfumo dume, inahitaji ujasiri wa kipekee kusimama na kutetea haki za wanawake na wasichana. Sarafina Simioni, binti mdogo lakini mwenye sauti kubwa, ni miongoni mwa mashujaa wa zama hizi. Ni mwanaharakati shupavu wa masuala ya jinsia nchini Tanzania, anayejituma kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu haki za wanawake na wasichana.
Waadhibiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Wavulana wawili waliotiwa hatiani kushiriki mapenzi ya jinsia moja nchini Indonesia wameadhibiwa leo kwa kucharazwa vibo
Utafiti: Wanawake hawashiriki pakubwa kwenye siasa Afrika
Ripoti mpya iliyotolewa na African Barometer, imebaini bado kuna ombwe la ushiriki wa wanawake katika siasa
Mfahamu Lina msichana muelimishaji juu ya hedhi salama
Elimu yake inawasaidia kujenga ujasiri, kuwa na afya bora, na kuwa na uelewa wa haki zao za kimwili.
Ukweli kuhusu dawa za asili za kubana uke
Baadhi ya wanawake wa Pwani ya Afrika Mashariki hutumia mbinu za asili kubana uke hasa baada ya kujifungua, wakiamini kuwa hurejesha hali ya awali, huongeza msisimko wa ndoa, na kuboresha usafi wa mwili. Lakini, je, ni tiba ya asili au hatari iliyojificha ? #AfyaYaWanawake #Uzazi #Ndoa #ManukatoAsili #TibaAsili
Makanika mwanamke aliyegeuka kivutio Busia, Kenya
Kinyume na matarajio ya wengi, Florence huchukua spana kwa ustadi na kushughulikia injini za magari kwa ujasiri usio wa kawaida. Licha ya mashaka kutoka kwa baadhi ya watu waliodhani kazi hii ni ya wanaume pekee, ameweza kuthibitisha kuwa ujuzi na bidii havibagui jinsia.
Trump aidhinisha "wabadili jinsia" kuondolewa jeshini
Trump asaini maagizo ya kuwaondoa jeshini "wabadili jinsia" hatua inayokoselewa na wanaharakati.
Trump asaini amri itakayozuia waliojibadili jinsia jeshini
Wanaharakati wa jamii za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wanaiona hatua hii kama ukiukwaji wa haki zao.
Utafiti: Karibu wanawake 200 waliuawa Kenya mwaka 2024
Utafiti: Karibu wanawake 200 waliuawa Kenya mwaka 2024
Historia ya wanawake Namibia enzi za ukoloni inavyosimuliwa
Wanawake wa Namibia walishuhudia na kupitia kwanza mauaji ya halaiki ya enzi ya ukoloni wa Ujerumani. Na hii leo, wanawake ndiyo wako mstari wa mbele kukuza ufahamu wa kilichotokea na kuganga yajayo.
Wanawake wa Namibia na uasi dhidi ya ukoloni
Uvamizi wa kikoloni wa Ujerumani nchini Namibia dhidi ya jamii za Nama na Herero ulimaanisha vita vya jamii nzima, siyo vya askari pekee. Manusura walipitia madhila ya kutisha, lakini wanawake walistahamili na kupambana kuihami jamii yao.
Uchaguzi wa CHADEMA wazusha maswali uwakilishi wa wanawake
Wachambuzi wanasema ukosefu wa kanuni na miongozo kwenye katiba za vyama ndicho chanzo cha mapengo hayo ya kijinsia.
Mkutano wa kuboresha kilimo Afrika wafanyika Uganda
Mkutano wa Kilele wa CADDP ulilenga kutoa msukumo kwa ushirikishwaji wa wanawake na vijana.
Kutana na kocha wa kike wa mchezo wa majambia wa Kenya
Ashley Ngoiri anatajwa kuwa ndiye mkufunzi wa kwanza wa kike wa mchezo wa Majambia nchini Kenya. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 25 amepata fursa ya kuondokana na umaskini kupitia mchezo huo na pia amekabiliana na unyanyasaji wa kijinsia. Sasa anataka kusaidia watu wengine na kutimiza ndoto yake kubwa.
Trump aapa "kukomesha upuzi wa watu waliobadili jinsi zao"
Kiongozi huyo ameahidi pia "kuwazuia wanaume kushiriki michezo ya wanawake”
Trump aapa kukomesha wazimu wa jinsia mbili kama kipaumbele
Trump anapanga kuchukuwa hatua kali za kuondoa watu wa jinsia mbili katika huduma za kitaifa na kijamii.
Ufaransa: Mume ahukumiwa miaka 20 jela kwa kumbaka mkewe
Mwanamke huyo ameitaka jamii kubadili mitazamo kuhusu ubakaji na suala zima la ridhaa kwenye mahusiano.
Wafuma mazulia wanawake wa Morocco
Tunapenda sana mazulia ya kiwango cha hali ya juu na yenye kuvutia. Lakini shughuli yake unaijua? Utamaduni mkongwe wa ushonaji mazulia nchini Morocco unakabiliwa na hatari ya kutoweka. Lakini sasa kusini mwa nchi hiyo wanawake ndio wasimamizi wa kazi hiyo ya sanaa na wanajitahidi kuilinda.
Mwanamke fundi umeme anayebeba matumaini ya wasichana
Kazi ni Kazi. Tizama jinsi binti huyu mwenye umri wa miaka 27, anavyopuuza vizingiti, mila na mitizamo ya wengi katika kufanikisha taaluma yake mjini Mombasa, Kenya.
Harakati za mjasiriamali Jackline Machoke
Makala ya wanawake na maendeleo mara hii inamuangazia mjasiriamali Jackline machoke kutoka Tanzania na namna anavyoitumia nafasi yake kuwainua wajasiriamali wengine na kuwasaidia wasiojiweza. Ambatana naye Angela Mdungu kufahamu zaidi.
Fahamu maudhui yanayowavutia wasichana mitandaoni
Wasichana wamekuwa na matumizi mbalimbali ya mitandao ya kijamii lakini wengi wao hukumbana na changamoto nyingi, ambazo wengine huwaachia alama mbaya, ni kipi hasa wanatakiwa kujifunza kabla ya kuingia katika ulimwengu wa kidijitali?
Wanawake Sudan wakabiliwa na unyanyasaji wa kijinsia
Mwezi uliopita ujumbe huru wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa, Sudan, ulirekodi kuongezeka kwa unyanyasaji wa kijinsia.
UN: Mahala pa hatari zaidi kwa wanawake ni nyumbani
Waziri wa masuala ya familia Ujerumani ameripoti kuwa nchi hiyo inakabiliwa na tatizo la ukatili dhidi ya wanawake.
Ukatili dhidi ya wanawake uliongezeka Ujerumani 2023
Wizara ya Mambo ya Ndani imesema hali hiyo imefikia kiwango kisichostahamilika na imeahidi kupendekeza sheria kali.
Msichana anayepigania kutokomeza ndoa za utotoni
Mamilioni ya wasichana kila mwaka huathirika na ndoa za utotoni ambazo zinawakosesha haki ya msingi ya elimu, matatizo ya afya ya uzazi pamoja na kukosa malezi ya wazazi wao. Hayo ni maneno ya Jenniffer Fred, mwanaharakati aliyeamua kulivalia njuga na kusambaza elimu ili kutokomeza ndoa za utotoni. Na huyu leo ndio #msichana wetu #jasiri. #msichanajasiri #hakizawatoto #hakiyaelimu
Juhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchi
Wanawake kutoka kote barani Afrika chini ya Msaada wa Wataalamu wa Kundi la Afrika la Wapatanishi (AGNES) wamezindua kampeni ya kuwawezesha wanawake kujumuishwa ili kushawishi mamlaka inayosimamia mipangilio ya hali ya hewa kwa kuhimiza masuala ya wanawake kuzingatiwa wakati wa kutenga bajeti na kubuni mikakati. Kwenye makala hii, Wakio Mbogho, anachanganua zaidi
Meltem Özdem - Kinara wa wanawake warusha maputo ya kitalii
Meltem Özdem ni mwanamke wa kituruki na rubani wa maputo ya hewa ya moto. Anasema haikuwa rahisi kufika hapo.
Mwendesha mashtaka wa ICC achunguzwa kwa unyanyasaji kingono
Karim Khan anakabiliwa na madai hayo ambayo hata hivyo ameyapuuzilia mbali akisema hayana msingi.
70% ya waliouawa ukanda wa Gaza ni wanawake na watoto
UN imelaani kile ilichokitaja kuwa ukiukaji wa kanuni za msingi za sheria ya kibinadamu ya kimataifa.
Wanawake wa Lebanon wakabiliwa na kitisho cha uzazi salama
Nchini Lebanon, idadi ya mimba kuharibika na watoto kuzaliwa mapema imekuwa ikiongezeka kwa sababu watu hulazimika kukimbia kila leo, kulinda usalama wao kutoana na mashambulizi ya Israel. DW imezungumza na mama huyu anayepigania uhai wa mwanae hospitalini.#kurunziwanawake
Kilimo cha mwani kama kitega uchumi
Katika pwani ya Bahari Hindi, baadhi ya wanawake kutoka Tanzania wanaendeleza kilimo cha mwani kama kitega uchumi. Mwani, mmea wa baharini lakini wenye manufaa chungu nzima sasa umekuwa mbadala muhimu wa kilimo cha ardhini.
Zaidi ya wanawake, wasichana milioni 600 waathirika na vita
Maafisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa wamesema idadi hii ni ongezeko la asilimia 50 katika kipindi cha miaka 10.
Kongo: Wanawake Goma wajitosa kwenye bodaboda
Wanawake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameamua kuchukua jukumu la kufanya kazi ambazo zilikuwa zikihodhiwa na wanaume. Hatua hii inachochewa na ukweli kwamba wengi wamekuwa wakilea familia peke yao lakini pia changamoto za kiusalama katika eneo hilo. Sasa hawana wasi tena wenyewe wanasema mwendo mdundo fursa bila kujali jinsia.
Vita nchini Kongo yaongeza mzozo wa afya ya akili
Makundi zaidi ya 100 yanapmbania eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwenye utajiri wa madini
Yvonne Aki Sawyerr ashinda Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika
Meya wa mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, atunukiwa tuzo ya Ujerumani kwa Afrika. Yvonne Aki-Sawyerr ametuzwa kwa kujitolea kwake kwa wakaazi wa mji wake. Aliubadilisha mji wa Freretown kuwa bora kuishi kwa miaka sita pekee. Aliboresha huduma ya utupaji taka, usambazaji maji na anaendelea kuboresha hali ya mji huo hata zaidi. #DWKiswahili
Changamoto na mchango wa wanawake vijijni katika maendeleo
Siku ya Wanawake wa vijijini inaadhimisha mchango wa kundi katika maendeleo na ustawi wa dunia.
Mkenya aivunja rekodi ya dunia ya marathon kwa wanawake
Ruth Chepng'etich wa Kenya ameivunja rekodi ya dunia ya mbio za marathon kwa karibu dakika mbili katika mbio za Chicago
Mamia waandamana Uturuki kupinga mauaji ya wanawake
Uturuki imeshindwa kukabiliana na mauaji ya wanawake.
Mfahamu msichana mwalimu wa biashara
Salma ni msichana wa miaka 22 ambaye amekuwa akiwafundisha vijana namna ya kuanzisha biashara na kuziendeleza. Hata hivyo, si rahisi kwa baadhi yao kumuelewa lakini bado anamatumaini makubwa ya kufikia kundi kubwa la vijana, ili kuhakikisha kuwa wanajikwamua katika ajira na kuishi katika ndoto zao. #msichanajasiri.
UNICEF: Mamilioni ya wasichana wadhalilishwa kingono
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limeripoti kwamba zaidi ya wasichana milioni 370 na wanawake
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 22
Ukurasa unaofuatia