You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Madhila ya wanawake nchini Burundi
Madhila ya wanawake nchini Burundi
Isatta Paasewe awasaidia wanawake kujiendeleza kimaisha
Baada ya kufaidika na mafunzo ya ufundi stadi mwanamitindo wa Liberia, Isatta Paasewe anasaidia wanawake wengine.
Wanawake wajasiriamali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Mtaji, ujuzi na msaada ni nguzo muhimu za kufanikisha biashara
Wanawake wajasariamali Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Mtaji, ujuzi na msaada ni nguzo muhimu za kufanikisha biashara
Kuna matumaini wasichana wa Chibok wako hai
Video ya CNN imewaonyesha baadhi ya wanafunzi wa Chibok waliotekwa nyara miaka miwili iliyopita
Tanzania: Wanaume wanawawezesha wanawake
Hayo ni kwa mujibu wa utafiti uliotambulishwa katika kongamano la wanawake Dar es Salaam.
Umuhimu wa mazoezi kwa wajawazito
Umuhimu wa mazoezi kwa wajawazito
Bujumbura yapata waendeshaji teksi wanawake
Wanawake watatu wamepasi mtihani wa kuwa waendesha teksi mjini Bujumbura, Burundi. Kwavile ni kazi iliyozoweleka kufanywa na wanaume bila shaka wanakabiliana na changamoto kadhaa. Sikiliza zaidi
Ajenda kuu ya wanawake
Makala hii inaangazia ajenda kuu ya wanawake katika kipindi cha mwaka 2015 hadi 2016, kwa kujikita zaidi katika hatua zilizopigwa kuyapa kipaumbele masuala ya kuimarisha haki za kibinadamu zinazowahusu wanawake
Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Wanawake
Wanawake wakosa haki sawa ya kumiliki ardhi sawa na wanaume
Umuhimu wa wawakilishi wanawake Kenya
Ni miaka mitatu tangu kuchaguliwa kwa wawikilishi wa wanawake katika kaunti 47 za Kenya, Je wameleta maendeleo gani? Kwa zaidi ungana na Caro Robi katiika kipindi cha wanawake na maendeleo
Haki ya kinga ya Ukimbizi Ulaya
Wanawake wapatiwe maelezo ya haki zao na jinsi ya kujikinga
Mchango wa wanaume kukomesha unyanyasaji wa kijinsia
Wanawake bado wanendelea kunyanyasika licha ya jitihada za mashirika mbalimbali kukomesha dhulma hii. Lakini pengine kinachohitajika ni mchango wa wanaume katika kukomesha ukatili dhidi ya wanawake. Ungana na Ambia Hirsi katika kipindi cha wanawake na maendeleo.
Wasichana bikra kupata msaada wa masomo Afrika Kusini
Nchini Afrika Kusini meya wa mkoa wa KwaZulu-Natal ametangaza kuwapatia msaada wa kujiendeleza na masomo ya juu, wasichana waliobainika kuwa bado ni mabikra. Kwanini Afrika Kusini inaendeleza mila hii ya kukagua bikra wasichana ? Ungana na Saumu Mwasimba katika kipindi hiki cha utamaduni na sanaa
Uhaba wa pedi wafanya wasichana wengi wakose masomo Kenya
DW inaangazia makundi yanayosaidia wasichana wanaoshindwa kwenda shule kwa kukosa sodo ama pedi.
Mapambano ya wanawake wenye ulemavu kukabili maisha
Mapambano ya wanawake wenye ulemavu kukabili maisha
Wanawake washambuliwa kingono mwaka mpya Cologne
Wanaume wanaoelezwa kuwa na asili ya Kiarabu au Afrika Kaskazini walihusika.
Vikoba: mfumo mpya wa kuchangiana pesa kina mama
Shirika moja nchini Kenya limeubadilisha mfumo wa upatu na kuufanya ulingane na vyama vya kutoa mikopo na akiba. Umepewa jina la "Vikoba" ama kwa lugha ya kigeni "Table Banking" na unatumika kuwasaidia kinamama kujikwamua kimaisha.
Wanawake wa mipakani wanavyotumia fursa ya biashara
Wanawake mpakani mwa nchi za Afrika Mashariki watumia fursa kujiendeleza
Wanawake na mitindo mipya ya nywele
Wanawake wa Ivory Coast wapigia debe mitindo ya nywele za asilia. Wangelipenda kuwa kielelezo chema kwa bara zima.
Samia Suluhu - makamu wa rais wa Tanzania
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Tanzania imepata makamu wa rais mwanamke. Je, Samia Suluhu ni nani?
Sayon Bamba awakomboa wanawake kimuziki
Mwanamuziki wa Guinea afungua chuo cha muziki cha wanawake
Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana
Sayon Bamba, mwanamke katika biashara ya muziki nchini Guinea, ambayo imetawaliwa zaidi na wanaume, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki, na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi katika sekta ya muziki iliyotawaliwa na wanaume.
Wanawake wa Korea walidhalilishwa kingono
Japan na Korea Kusini zimekubaliana kuzungumzia udhalilishaji wa kingono waliofanyiwa wanawake wa Korea kusini
Wanawake na utamaduni wa 'upatu'
Mfumo wa kibenki usio rasmi lakini wenye uhakika
Ni siku 500 tangu kuchukuliwa mateka wasichana wa Chibok
Licha ya shinikizo zinazotolewa dhidi ya serikali, wasichana 219 bado hawajapatikana
Wanawake wanajikuta mikononi mwa wanamgambo
Wasichana wenye umri mdogo wanaendelea kujikuta mtegoni kutokana na njama za wanamgambo wenye itikadi kali
Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao
Kundi la wanawake wanne nchini Rwanda limewasha umeme utokanao na nishati ya jua kwenye kijiji kizima mashariki ya nchi hiyo. Jiunge na Sylivanus Karemera kusikiliza makala ya 'Wanawake na Maendeleo'.
Marekani mabingwa wa Kombe la Dunia la Wanawake
Marekani imelipiza kisasi kwa kuwachabanga mabingwa watetezi Japan na kutwaa Kombe la Dunia la Wanawake nchini Canada
Japan na Marekani kukutana tena katika fainali
Japan na Marekani kuchuana katika fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake nchini Canada. Je Japan itahifadhi Kombe?
Wabakwa na kuchoma moto Sudan Kusini
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa Wanajeshi wa Sudan Kusini waliwabaka na kisha kuwachoma moto wasichana wakiwa hai majumbani mwao wakati wa operasheni mpya ya kikatili iliyofanywa hivi karibuni.
Kombe la Dunia la Wanawake laingia nusu fainali
Michuano ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake inatarajiwa kuwa na msisimko wa na burudani la aina yake, kwa kuwaleta miamba watatu wa mchezo huo pamoja na England
Wanawake washiriki mafunzo ya Kampeni Tanzania.
Wanaharakati wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania wanaendeleza jitihada za kuwajengea uwezo wanawake ili kuwawezesha kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 nchini humo.
Ujerumani kuvaana na Sweden katika robo fainali
Michuano ya robo fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake inaanza leo nchini Canada, wakati Ujerumani itashuka dimbani na Sweden mjini Ottawa.
Kombe la Dunia la Wanawake: Ujerumani yatinga robo fainali
Kikosi cha kocha Silvia Neid ni moja kati ya timu zinazopigiwa upatu katika Kombe la Dunia la Wanawake nchini Canada na sasa kitacheza robo fainaili baada ya kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Thailand
Ujerumani, Norway zalenga robo fainali ya Kombe la Dunia
Mabingwa wa zamani Ujerumani na Norway wanalenga kutinga katika robo fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake pamoja na wenyeji Canada, wakati hatua ya mwisho ya mechi za makundi iking'oa nanga.
Virusi Trojaner vyavuruga data za bunge la shirikisho
Bora amani kuliko mvitano wanasema wananchi wa jumuia ya NATO
Morocco: Ndoa za utotoni bado tatizo
Ndoa za utotoni bado ni tatizo miongoni mwa jamii za kiislamu.
Maelfu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Malefu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Wasichana wa Chibok: Mwaka mmoja utumwani
Ni mwaka mmoja sasa tangu wasichana yaidi ya 200 walipotekwa na Boko Haram huko Nigeria
Neid kujiuzulu kama kocha wa timu ya wanawake ya Ujerumani
Silvia Neid atajiuzulu kama kocha wa timu ya Ujerumani ya wanawake katika mwaka wa 2016. Shirika la Kandanda la Ujerumani limesema nafasi ya Neid itachukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa Steffi Jones
Usawa wa jinsia na nguvu kazi
Sheria zinazowabagua akinamama kikazi zibatilishwe
Ukeketaji: desturi haramu inayoendelea
Ingawa desturi hiyo ni ya ukatili, jamii ya wafugaji ya Pokot nchini Kenya inaiendeleza.
Wasichana Kenya watumia miili yao kujikimu kimaisha
Wasichana wadogo nchini Kenya wamekuwa wakilazimika kujiingiza katika unywaji pombe na uuzaji wa miili yao kama njia ya kujipatia chakula wao na familia zao.
Tanzania: Wasichana wengi waolewa mapema
Shirika la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch, linaema wasichana wa Kitanzania wanaoolewa wakiwa na umri mdogo kabisa. Shirika hilo linataka umri wa chini uwe miaka 18.
Melinda:Wezesha wanawake kuisaidia Afrika
Licha ya uwepo wa fikra tofauti juu ya maendeleo kwa wanawake mfadhili Melinda Gates, anaamini ukitaka kuisaidia Afrika kwanza anza na wanawake kwa kuwa ni ufunguo katika kukuza uchumi na maendeleo Afrika
Wako wapi wasichana waliotekwa na Boko Haram?
Miezi sita imeshapita tangu wanafunzi wa kike zaidi ya 200 walipotekwa nyara na wanamgamo wa itikadi kali ya Kiislamu wa Boko Haram huko Chibok nchini Nigeria.
Wanawake wadhalilishwa kingono Somalia
Shirika la kutetea haki za binaadamu limesema, wanajeshi wa Umoja wa Afrika wanaolinda amani nchini Somalia wamewadhalilisha kingono wasichana na wanawake wa kisomali wanaoishi katika mazingira magumu mjini Mogadishu.
Wanawake na wasichana 60 waliotekwa nyara na Boko Haram watoroka
Zaidi ya wanawake na wasichana 60 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la waasi wenye itikadi kali la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria wamefanikiwa kutoroka huku viongozi wa Chiboka wakitaka ulinzi kutoka umoja wa Mataifa
Wolfsburg yahifadhi kombe la Champions League kwa wanawake
Wachezaji wanawake wa klabu ya Wolfsburg wamefanya kile Bayern Munich yake Pep Guardiola haingefanya – kuhifadhi taji la Champions League. Hii ni baada ya kuizaba Tyresö FF ya Sweden magoli manne kwa matatu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 18 wa 22
Ukurasa unaofuatia