You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Je ni wakati wa kuzungumzia masuala ya uzazi kwa uwazi?
Je unadhani ni wakati sasa wa kuzungumzia kwa uwazi masuala yahusuyo uzazi ama masuala haya yaendelee kuwa siri? Tizama video hii kisha nipatie maoni yako.
Hebu tuzungumzie tofauti kati ya kizinda na bikra
Nina hakika kwamba bado kuna wengi wanaoshindwa kutofautisha kati ya kizinda na bikra kwa wanawake. Hali hii huwagharimu wanawake wengi na hasa inapofikia hatua ya kuolewa. Wengine hutumia njia mbalimbali kukirudisha kuanzia za jadi hadi za kisaa zinazogharimu fedha nyingi tu. Tuna mtaalamu hapa anayetuambia kwa kina kuhusu kizinda.
Hebu tuzungumzie kwa kina sehemu za uke?
Najua bado kuna mengi ambayo huyafahamu kuhusu sehemu ya uke, ambayo huwa kwenye mwili wa mwanamke. Hiki ni mojawapo ya kiungo cha uzazi cha mwanamke, lakini ni jina la jumla la sehemu ya nje tu ya uzazi ya mwanamke na ndani yake kukiwa na viungo mbalimbali vya uzazi. Unajua kwamba huwa kinabadilika kutokana na mambo mbalimbali? Ungana nasi kusikiliza zaidi kutoka kwa mtaalamu.
Hebu tuizungumzie hedhi ya mwanamke
Wengine huuita ni "wakati ule wa mwezi", wengine wanasema "siku zake" na majina mengine mengi tu. Lakini ukiachana na haya yote, kuna neno moja tu, HEDHI. Unajua nini kuhusu hedhi? Mfululizo wa makala za Jinsia na Mwili zina mengi unayoweza kufaidika nayo, na hasa linapokuja suala la kuzungumza kwa uwazi na kwa kina. Ungana nasi hapa kusikiliza mengi kutoka kwa mtaalamu kuhusu HEDHI.
Wapiganaji wa Tigray walibaka, kupora na kuwapiga wanawake
Wanawake 16 kutoka Nifas Mewcha waliiambia Amnesty kuwa walibakwa na wapiganaji wa TPLF wanaopigana dhidi ya serikali.
Kikosi cha kina dada pekee Kenya kinachowahudumia wanyama pori
Ni kikosi kinachoitwa Team Lioness. Kinawajumuisha kina dada na wanawake pekee katika kuwahudumia wanyama pori nchini Kenya. Licha ya ukali wa wanyama pori pamoja na hatari iliyoko, wamejifunza na hizo si hofu kwao. Je misukumo yao ilitokana na nini? Wanamudu vipi kazi yao na kupiku changamoto zilizopo? Thelma Mwadzaya na mengi zaidi.
Bendi ya wanawake pekee Dar es Salaam
Bendi ya wanawake Bahati huwajumuisha wanawake 15. Wenyewe ndio huimba, hupiga ala za muziki ikiwemo gitaa, na kusakata rumba wanapotumbuiza katika kumbi mbalimbali ndasni na nje ya nchi. Wanasema lengo lao ni kukuza vipaji vya wanawake na wasichana wengine. #KurunziWanawake
Ulaya bado inajikongoja masuala ya usawa wa jinsia
pengo kubwa bado lipo kwa wanawake kushika nafasi za uongozi ama mamlakani.
UN: Wanawake, watoto wako hatarini katika vizuizi vya Libya
UN yaonya wanawake na watoto wako hatarini katika vizuwizi vya Libya
Kaptein mwanamke anayeendesha kivuko Mtwara Tanzania
Makala hii ya Wanawake na Maendeleo inamwangazia Kapteini mwanamke anayeongoza kivuko na boti za haraka mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania. Makala imeandaliwa na Salma Mkalibala.
HRW: Wasichana waliofukuzwa shule Tanzania wateseka
Human Rights Watch imesema wasichana wanaofukuzwa shule kwa kupata ujauzito Tanzania wanakosa haki yao ya kupata elimu.
Maandamano ya wanawake Afghanistan sasa hayafanyiki tena
Wanawake nchini Afghanistan wanaopinga kile Taliban inachokisema na kufanya tangu kundi hilo lilipodhibiti madaraka, sas
Maelfu waandamana Marekani kupigania uavyaji mimba
Maelfu ya wanawake wameandamana katika zaidi ya miji 600 nchini Marekani kupinga kampeni ya kuzuia uavyaji mimba.
Mwamko wa wanawake kuhusu saratani ya kizazi ni mdogo
Mwamko wa wanawake kuhusu saratani ya kizazi ni mdogo
Kenya yazuia filamu nyingine ya mapenzi ya jinsia moja
Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na wakenya kwani inakiuka maadili na katiba. Filamu hiyo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza mwezi wa Oktoba mwaka jana kwenye tamasha la 64 la filamu la London, BFI.
Namna ya kuwaepusha wasichana na mbimba za utotoni
Katika kukabiliana na mimba za utotoni kwa kundi la wasichana wapo miongoni mwao ambao wameamua kujiingiza katika matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Lakini jamii zao zinawatazamaje? niwakati wa kutazama hili kama jambo la kawaida.
Wanawake waendesha mitambo bandarini Mtwara
Makala hii ya wanawake na maendeleo, leo inawaangazia wanawake wanaofanya kazi ya kuendesha mitambo ya kubeba mizigo, katika bandari ya Mtwara, Kusini mwa Tanzania. Msimulizi ni Salma Mkalibala.
Changamoto za wasichana wapiga picha nchini Tanzania
Tasnia ya upigaji picha Tanzania ni miongoni mwa tasnia zilizokuwa na upungufu wa wafanyakazi wa jinsia hiyo. Lakini hawa wasichana wamepewa mafunzo maalum ya upigaji picha ilikukamilisha ndoto zao. #KurunziWanawake
Utumiaji holela wa P2 kwa wasichana na hatari inayowakabili
Umezaji holela wa P2 kwa wasichana wanaotaka kuzuwia mimba unaweza kuwa hatari. P2 zinatumika kama njia ya muda mrefu.
Unyanyasaji wa kingono wa wanahabari wanawake
Wapo mstari wa mbele katika kupigania maslahi ya wengine, kuhakikisha haki zao zinatamalaki na kuwa na jamii ilio salama. Ukweli unsioujua, mioyo yao imechoka dhidi ya unyanyasaji za kingono wanazopitia kutoka kwa watu wanaokutana nao kila siku katika mazingira ya kazi. Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia madhila hayo yanayowakumba waandishi habari wa kike.
Ongezeko la wahandisi wanawake na changamoto zinazowakabili
Makala ya Mwanamke na Maendeleo ya idhaa ya Kiswahili ya DW inaangalia ongezeko la wahandishi wanawake nchini Tanzania pamoja na changamoto ambazo bado zinawakabili.
Afghanistan: Shule za sekondari zafunguliwa bila wasichana
Shule za sekondari zafunguliwa kwa wavulana tu nchini Afghanistan. Umoja wa Mataifa wasema hali hiyo inatia wasiwasi.
Wanawake wajifunza kuogelea kwa kuokoa maisha ya wengine
Zanzibar, nchi ya visiwa katika upande wa mashariki mwa Afrika, imezungukwa na Bahari ya Hindi. La ajabu ni kuwa, licha ya kwamba wakaazi wake wanaitegemea bahari kwa sehemu kubwa ya maisha yao, wengi wao hawajui kuogolea.Lakini wanawake hawa katika kisiwa kidogo cha Uzi wanajitolea kuwasaidia watu kujifunza kuogelea na kuokowa maisha yao na ya wenzao. Sikiliza makala hii ya Mohammed Khelef.
Rais Samia akutana na wanawake kwenye siku ya Demokrasia
Maoni tofauti kuhusiana na hali ya demokrasia nchini Tanzania hasa kutokana na kuendelea kubanwa kwa vyama vya siasa.
Hofu ya wanawake nchini Afghanistan kuhusu Taliban
Makala ya Wanawake na Maendelea safari hii inaangazia hofu ambayo imewagubika kina mama nchini Afghanistan baada ya wapiganaji wa Taliban kuchukua mamlaka. Je hofu hiyo inatokana na nini? Zainab Aziz anasimulia zaidi.
Juhudi za wanawake katika kuwasaidia wasichana kujiendeleza
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, Lilian Mtono anazungumzia wanawake wanaoshughulika moja kwa moja na wasichana wanaoshindwa kuendelea na masomo ama baada ya kuachishwa kinguvu au kukosa fursa, na wao sasa wanawafungulia mlango mwingine wa matumaini.
Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa
Wanawake wa Afghanistan waandamana kutaka haki zao kulindwa
Kutana na mwanamke mwendesha mitambo bandarini Mtwara
Kazi yake imekuwa na manufaa makubwa kwake na familia yake licha ya kuwepo kwa changamoto ndogondogo na kama ilivyo kwa kazi nyingine, nayo kazi ya kuongoza mitambo inahitaji umakini.
Khadija Jillo - Mwanamke aliyerejea shule akiwa na miaka 54
Makala ya Wanawake na Maendeleo, inammulika Khadija Jillo mwanamke aliyerudi shuleni alipokuwa na umri wa miaka 54.
Wanawake CHADEMA wadai kutendewa vibaya mahabusu
Baraza la Wanawake la CHADEMA limelishutumu jeshi la polisi kukiuka haki za baadhi ya wanawake nchini Tanzania.
Wanawake wa Goma wanateseka baada ya mlipuko wa volkano
Maelfu ya wanawake kutoka mjini Goma, Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, wanaoishi katika kambi za hifadhi wanakabiliwa na changamoto nyingi baada makazi yao kuteketea kwa lava ya volkano ya Nyiragongo tarehe 22 Mei.
Wanaharakati waonya unyanyasaji wa wanawake, Pakistan.
Pakistan ni moja ya mataifa yaliyo na kiwango kikubwa zaidi cha unyanyasaji dhidi ya wanawake ulimwenguni.
Mawaziri wa IGAD waazimia wanawake kumiliki ardhi
Mawaziri wa Jumuiya ya nchi za Mashariki na Pembe ya Afrika, IGAD, wameazimia kuwawezesha wanawake kumiliki ardhi.
UN: Wanawake na watoto waliuwawa zaidi Afghanistan
Wanawake na watoto zaidi waliuawa na kujeruhiwa nchini Afghanistan katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021.
Wasichana waliobobea katika kupiga ala za muziki
Ukiwa ni mzazi ni rahisi kulipa ada ya chuo kikuu ili mwanao asomee muziki na hasa abobee katika upigaji Talumbeta? Sasa tazama wasichana hawa walioamua kujikita katika upigaji talumbeta wanasema wanataka kuleta tofauti kwenye tasnia ya upigaji vyombo. @miss_hadijahalifa amezungumza nao.
Visa vya mauaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake Tanzania
Jeshi la polisi Tanzania limekiri kuwepo na matukio ya mauaji na ukatili wa kijinsia kwa wanawake.
Mwanasiti mfanyabiashara ngangari
Ukakamavu umemuwezesha kufungua biashara mbili katika muda mfupi na sasa ni muajiri.
Wapenzi wa jinsia moja wanaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi Nakuru, Kenya
Asilimia 70 ya watu walioambukizwa virusi vya Ukimwi katika eneo la Nakuru nchini Kenya ni kati ya makahaba na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Kadhalika maafisa wa afya wanaelezea changamoto za kidini katika kuyakabili maambukizi haya.
Macron: Wanawake wameathirika zaidi na COVID-19
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema wanawake ndiyo wameathirika zaidi na janga la virusi vya corona.
Vazi la shingoni kwa wanawake wa Kimaasai
Tuangazie kidogo kuhusu utamaduni wa wamaasai haswa vazi maalum la wanawake ambalo aghalabu wao huvaa shingoni. Umuhimu wake ni upi? Veronica Natalis anasimulia zaidi. #kurunzi
Wanawake wavuvi
Shughuli ya uvuvi ilikuwa inafanywa sana na wanaume, kwa kuwa ilionekana kana kwamba wanawake hawaiwezi shughuli hiyo. Lakini hali kwa sasa imebadilika na wanawake wamejiingiza kikamilifu kwenye shughuli hii. Sikiliza makala ya wanawake na maendeleo uwasikie wakizungumzia hatua hii.
Vijana chuo kikuu wajitosa kuwaokowa mabarobaro, wasichana
Vijana katika vyuo vikuu kusini mwa Tanzania wameanzisha kampeni ya kuwaokowa wavulana na wasichana.
Museveni ateua wanawake zaidi katika Baraza lake la Mawaziri
Wanawake zaidi wajumuishwa katika Baraza la Mawaziri Uganda
Mwanadada mwanaharakati asotetereka Ghana
Bila shaka kupiga hatua katika jamii ya kihafidhina ya Ghana iliyotawaliwa na mfumo dume, ingekuwa kazi ngumu. Lakini Akosua Nana Hanson hakuingiwa wasiwasi na hilo. Lengo lake lilikuwa ni kuyakiuka mazoea hayo. Kutumia mbinu zake kutetea usawa wa haki, Hanson anaikaribisha hatua nyingine ya utetezi nchini mwake.
DW Michezo
MICHEZO
Latifa Mohammed mwanaharakati wasichana
Ameona kuna haja ya kutoa muda wakekulifikia kundi la wanawake kuwawezesha kielimu na mawazo ili kuwakomboa kiuchumi kupitia taasisi yake. Msichana jasiri wiki hii ni Latifa Mohammed ambaye amezungumza na Hadija Halifa @miss_hadijahalifa.
Tanzania: Hatua ya kutolewa nje mbunge yakosolewa
Hii ni baada ya mbunge mwanamke kutolewa bungeni na spika wa bunge kwa madai mavazi yake yalikuwa hayana staha.
Wanawake wengi Tanzania watumia tumbaku
Hatua hiyo inatajwa kuathiri kwa kiwango kikubwa afya za watoto Tanzania hasa walio chini ya umri wa miaka mitano
Khadija Mwanamboka, mbunifu awajengeaye wasichana kujiamini
Khadija Mwanamboka ameamuwa kutumia jukwaa lake la Ujuzi Fashion Hub kuwasaidia wasichana kufikia malengo yao.
Hedhi salama bado ni changamoto kwa wasichana wa Kenya
Hedhi salama bado ni changamoto kwa wasichana wa Kenya
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 22
Ukurasa unaofuatia