You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wingi wa wanawake na nyota njema kwenye uongozi, Zanzibar
Pazia la uchukuaji wa fomu lilifunguliwa Agosti 28 kutarajiwa kufungwa Septemba 10
Burkina Faso yaidhinisha sheria ya kupinga ushoga
Bunge la mpito la Burkina Faso limepitisha rasmi sheria hiyo mpya.
Ni taabu kupata maji ya kunywa kaskazini mwa Kenya
Kaskazini mwa Kenya, kaunti za Turkana na Marsabit zinatatizika kupata maji safi na salama. Maji ya chumvi katika Ziwa Turkana katikati yao yamekuwa si chanzo cha maji ya kunywa na kwamba ni hatari kwa afya za watumiaji. UN inatafuta njia za kuwasaidia watu katika vijiji vinavyotaabika na maji. #kurunzi
Msichana Jasiri: Loistracy Andrew na athari za ukeketaji
Msichana Loistracy atumia sauti yake kukabiliana na athari za ukeketaji. Matumaini yake ni kuwa sauti ya mabadiliko
Mamas of Zanzibar: Kutunza utamaduni, kujenga maisha
Wanawake wa Zanzibar wamegeuza urithi wa utamaduni wao kuwa darasa la kipekee kwa wageni, wakijenga maisha bora.
Mkwamo wa soka la Wanawake visiwani Zanzibar
Soka la wanawake Zanzibar linakumbwa na changamoto kadhaa zinazozuia ukuaji wake licha ya vipaji vilivyopo visiwani humo. Hali ya uwekezaji duni imeathiri pakubwa ustawi wa wachezaji, uwepo wa viwanja vichache na ukosefu wa udhamini wa kutosha kwa timu za wanawake. Najjat Omar anaangazia hali ya soka la wanawake Zanzibar.
Wanawake maveterani wa Kosovo bado hawathaminiwi, kwa nini?
Maveterani wanaume hutambuliwa zaidi kutoka kwa taasisi za serikali na umma, tofauti na wanawake waliopigana vita
Rwanda wagawanyika juu ya "condoms" kwa vijana wa miaka 15
Rwanda imepunguza umri wa vijana kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango kutoka miaka 18 hadi 15 baada ya kupitisha sheria mpya. Vijana hawa sasa wanaruhusiwa kupata vidonge na vipandikizi, ingawa wabunge wanasisitiza kuwa mipira ama "condom" ndio zinapaswa kupewa kipaumbele. Ipi fikra yako?
Kukosa ajira hadi kuanzisha kituo cha redio
Baada ya kumaliza masomo yake nje ya nchi mwaka 2012, Jacqueline Lawrence Mwakyambiki aliamua kuanzisha kituo cha redio.
Wanawake walidhulumiwa wakati na baada ya vita vya Tigray
Ripoti ya mashirika mawili ya kutetea haki imesema, wanawake walinyanyaswa kingono wakati na baada ya vita vya Tigray.
Wanawake 5 wa Kiafrika wanaobadilisha dunia
Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake wa Kiafrika, tunatambua mchango wa wanawake ambao wanavuka mipaka ya jadi na kuleta mabadiliko makubwa katika jamii zao - kutoka kwenye uongozi wa sekta za mabilioni hadi mapambano dhidi ya sumu na ukosefu wa haki. Katika Siku ya Wanawake wa Afrika, tunamulika simulizi zao.
UN: Urusi ishughulikie usafirishaji haramu wa wanawake
Urusi yashtumiwa kwa ulanguzi na unyanyasaji wa wanawake wahamiaji.
Wanawake 162 wakombolewa kwenye biashara ya ukahaba
-
Mpango wa 'Elimu haina mwisho' kwa wasichana
Elimu haina mwisho, ni mradi maalum wa kuwasaidia wasichana Tanzania, ambao hawajamaliza kidato cha nne, waliositisha masomo kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ya kupata ujauzito, ufukara ndani ya familia au kuugua kwa muda mrefu. Mradi huu unaratibiwa na Wizara ya Elimu nchini humo.
Kikwete, Malala kuendelea kupiga jeki elimu ya Tanzania
Wasichana wengi bado wanatatizika kupata elimu kutokana na changamoto mbalimbali na hasa za kijamii
England yatinga nusu fainali michuano ya Ulaya ya wanawake
Ushindi huo unaendeleza mbio za England za kutetea ubingwa wa michuano ya ulaya upande wa wanawake.
Wasichana waliopata ujauzito kuendelea na shule Kongo
Baadhi wanaamini ni kwa manufaa ya wanafunzi wa kike na wengine wasema itaruhusu upotofu wa maadili kwa wasichana.
UEFA wanawake yataka mechi zaidi kwenye viwanja vikubwa
Soka la wanawake bado halina mwamko mkubwa na uwekezaji mkubwa bado unasalia kwenye soka la wanaume
Ujerumani yaipa Tanzania bilioni 78 kusaidia miradi ya maji
Msaada huo utawezesha wataalamu katika maeneo hayo kupata mbinu na uwezo mpya wa kuendeleza utalii na uhifadhi
Unaujua upishi wa visinia?
Makala ya Wanawake na Maendeleo inaangazia juhudi za mwanamke aitwaye Flora Kiunzi, aliyethubutu kuacha kazi benki na kugeukia upishi na hasa ule wa visinia mkoani Mtwara, Tanzania. Salma Mkalibala alizungumza nae.
UN:Taliban ikomeshe ukandamizaji dhidi ya wanawake
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa limeutaka utawala wa Taliban wa Afghanistan kukomesha sera kandamizi dhidi ya wanawake.
UN yaitaka Taliban kuondoa vikwazo kwa wanawake Afghanistan
Tangu walipotwaa madaraka nchini Afghanistan mwaka 2021, Taliban wameweka sheria kali,
WAFCON: Twiga stars ina miadi na Mali
WAFCON: Timu ya taifa ya wanawake ya Mali inatarajiwa kuvaana na Tanzania katika mechi ya pili ya Kundi C.
EURO 2025: Ujerumani kukosa huduma za Gwinn
Gwinn, hatashiriki katika michuano ya Euro 2025 baada ya kuumia goti la kushoto.
Wanawake wa Burundi bado ni wachache uongozini
Ushiriki wa wanawake katika taasisi za utawala na miradi ya ujasiriamali bado ni mdogo nchini Burundi. Mkuu wa kitengo cha mikopo ya miradi ya ujasiriamali anasema kati ya miradi 4,700 waliyopokea tangu 2021, miradi 700 ndio ilikuwa ya wanawake. Wizara ya mshikamano kitaifa imehimiza wanawake kujitokeza kupiga kura na kuwania uongozi kwenye uchaguzi wa mwezi Julai. Amida ISSA alituandalia ripoti.
Kenya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia kidijitali
Kenya yazindua kampeni ya kidijitali kupambana na ongezeko la unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana.
Mpishi wa Visinia aliyeacha kazi benki
Sikiliza makala ya wanawake na maendeleo inayomuangazia mwanamke aliyethubutu kuacha kazi benki na kugeukia upishi hasa wa visinia katika mkoa wa Mtwara huko Tanzania. Salma Mkalibala ndiye aliyeandaa makala hii.
Baerbock ataka mabadiliko kwenye Umoja wa Mataifa
Baerbock, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje ya Ujerumani, ni mwanamke wa tano kushika wadhifa huo.
Kabila akutana na makundi ya wanawake Kongo
Joseph Kabila ana nia yakuendeleza mazungumzo ya amani na makundi yote ya kijamii na kisiasa Kongo.
Msichana Jasiri: Ijumaa Kuu
Wasichana wazungumzia umuhimu wa siku ya Ijumaa Kuu
Nigeria: Je, Mswada wa jinsia unaweza kuleta mabadiliko?
Wanawake nchini Nigeria wanataka kutegewa nafasi zaidi ndani ya bunge la taifa.
Kutana na msichana anayepiga vita rushwa ya ngono
Joanitha ni mwanafunzi anayesomea masuala ya ustawi wa jamii. Anapinga masuala ya rushwa ya ngono kwa wasichana.
Wakulima wa parachichi Kenya wanufaika na uvumbuzi mpya
Uvumbuzi huo umeyabadili maisha ya wakulima wa Meru ambao nondo walikuwa wakivamia maparachichi na kusababisha hasara.
Mradi wa maziwa wabadili maisha Nandi nchini Kenya
Wanawake wa eneo la Nandi wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuja pamoja na kuimarisha biashara yao ya maziwa. Mafunzo ya usimamizi wa ng'ombe na kilimo cha nyasi za kisasa zinazoimarisha afya ya mifugo vimewabadilishia maisha. Mwandishi wa DW Kiswahili Thelma Mwadzaya alitembelea eneo hilo la Magharibi mwa Kenya.
Biashara ya maziwa ya wanawake wa Nandi nchini Kenya
Wanawake wa eneo la Nandi wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kuja pamoja na kuimarisha biashara yao ya maziwa.
Fahamu siri za urembo kwa wanawake wa Mombasa
Je, wafahamu kuhusu Dukhan? Hii ni mila ya kipekee kutoka Sudan — bafu la moshi lenye manukato ambalo sasa limepata makazi Pwani ya Kenya. Zaidi ya urembo, Dukhan huaminika kuleta utulivu, kuondoa sumu mwilini, kupunguza maumivu ya viungo... Kwa wanawake, ni desturi muhimu kabla ya harusi au baada ya kujifungua. Ushawahi kuijaribu?
Msaada wa chakula wasitishwa kwa malaki Ethiopia
WFP imesema inasitisha msaada wa matibabu kwa wanawake na watoto 650,000 wenye utapiamlo nchini Ethiopia.
WFP kusitisha msaada kwa wanawake na watoto 650,000 Ethiopia
Mkurugenzi wa WFP nchini Ethiopia Zlatan Milisic asema hali itaendelea kuwa mbaya zaidi
Teknolojia ya kisasa ya kilimo cha kumwagilia maji, Kenya
Teknolojia ya kisasa inatumia nishati ya sola kusambaza maji yanayotoka mto Thiba hadi mashambani kijijini Gachuriri.
Wanawake wanavyojitoa kwenye uraibu wa dawa za kulevya
Monica Akoth, ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38. Na yeye ni sura ya ushindi. Aliwahi kuwa mfanyabiashara wa hoteli na alikuwa na maisha mazuri tu. Lakini mapenzi na mtu asiye sahihi yalimpeleka pabaya, hatimaye akaanza kutumia dawa za kulevya aina ya heroin, tena akiwa bado mdogo!!! Tizama video hii. #kurunziwanawake
Wasichana na matumizi ya Akili Bandia
Ni wasichana watatu walioamua kuwaelimisha wengine namna ya matumizi ya akili bandia katika kutafuta suluhu za changamot
Mauaji ya wanawake yaongezeka nchini Kenya
Hayo ni kulingana na takwimu kutoka Huduma ya Taifa ya Polisi na Kituo cha Taifa cha Utafiti wa Uhalifu.
Visa vya dhulma dhidi ya watoto vyaongezeka
Umaskini na mila zilizopitwa na wakati zimetajwa kuchangia ongezeko la visa vya dhulma dhidi ya watoto wa kike.
Maelfu waandamana Marekani kupinga sera Trump
Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza katika miji mikubwa ya Marekani kupinga baadhi ya sera za Rais Donald Trump.
Tunisia yafunga kambi kubwa za wakimbizi
Kambi wa wakimbizi ziliibua hasira ya wakaazi katika vijiji vya karibu, na kusababisha shinikizo dhidi ya mamlaka.
Safari ya Khadija Bhallo: Kutoka jikoni hadi mtandaoni
Mapishi ni kipaji na pia sanaa. Mji wa Mombasa umebahatika kuwa na wapishi wengi mahiri akiwemo Khadija Bhallo.
Uhusika wa wanawake katika uongozi wa kisiasa Uganda
Kuelekea uchaguzi mkuu ujao nchini Uganda mwaka 2026, wanawake wamejitokeza na ilani yao ambayo wangependa izingatiwe na vyama vyote vya siasa ili kuhakikisha masuala yao muhimu yanapewa kipaumbele kuwawezesha kushiriki ipasavyo katika siasa, utawala na uchumi wa nchi.
Wasichana wajiandaa na sikukuu ya Eid
Zimesalia siku chache waumini wa dini ya kiislamu kukamilisha ibada muhimu ya funga, inayofuatiwa na shamrashamra za sikukuu ya Eid. Wasichana wamejipanga kusherehekea siku hiyo kwa namna gani?
Wanawake watengeneza dawa za kuua mbu nchini Kenya
Makala ya Wanawake na Maendeleo inalimulika kundi la wanawake wa nchini Kenya walioungana kuzalisha dawa ya mbu.
Kurunzi Wanawake: Daktari bingwa wa upasuaji pwani ya Kenya
Kurunzi Wanawake leo inamuangazia daktari Maryam Badawy ambaye ameingia kwenye historia katika tasnia ya tiba kwa kuwa mwanamke wa kwanza katika eneo la pwani ya Kenya kuwa daktari bingwa wa upasuaji wa kurekebisha maumbile. Daktari Maryam amekuwa alama ya matumaini kwa wanawake wanaopambana na saratani ya matiti.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 22
Ukurasa unaofuatia