Wanawake wajitosa katika ujasiriamali
27 Julai 2016Matangazo
Bimvua Omar Dawa, mkazi wa kijiji cha Majenzi Micheweni, Zanzibar, aliwashangaza Wajerumani kwa umahiri wake wa kusuka mikoba.
Kwake yeye shughuli za ujasiriamali ni fursa adimu zinazompatia manufaa makubwa.