Wachimbaji watano wadogo wadogo wa dhahabu waliokolewa kutoka mgodini Nyangarata baada ya kufukiwa na kukaa huko kwa siku 41. Hawakukata tamaa, licha ya kukosa chakula na maji na mmoja wao kufariki.
Joseph Bulule mmoja kati ya wahanga akiwa katika hospitali ya wilaya ya Kahama akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa DW Veronica NatalisPicha: DW/V.NatalisDuara namba 1B - Njia iliyotumika kuwatoa wahanga kwenye mgodiPicha: DW/V.NatalisNyumba wanazoishi wachimbaji wadogo katika mgodi wa NyangarataPicha: DW/V.Natalis