Wabunge nchini Kenya wamekasirishwa na uamuzi wa tume ya kupanga mishahara nchini humo ambayo imekataa mapendekezo ya kuwaongeza mishahara kwa kiwango kikubwa, posho ya vikao na ruzuku ya kununua magari binafsi. Rashidi Chilumba amezungumza na Ngunjiri Kimani mbunge wa jimbo la bahati nchini Kenya na kwanza nimemuuliza kwanini wanahitaji malipo zaidi?