Biashara ya ngono bado inashuhudiwa katika mataifa mengi, ingawaje ni mara chache kuhalalishwa kisheria. Nchini Uganda biashara hiyo ni kinyume na sheria na maadili tangu zama za ukoloni, baadhi ya wanawake na wasichana wanaifanya kwa siri ili kujikimu maisha.