VIKOSI VITABAKIA IRAQ
29 Desemba 2003Matangazo
BANGKOK: Vikosi vya Bulgaria na Thailand vitabakia nchini Iraq licha ya wanajeshi wa nchi hizo kuuwaua mwishoni mwa juma.Waziri mkuu wa Thailand Thaksin Shinawatra amesema nchi yake inawajibika kuutekeleza ujumbe wake wa kiutu na itawapeleka Iraq wanajeshi wengine 30.