Vijana wa Kenya maarufu kama Gen Z wamezindua chama hao kipya cha kisiasa kilichopewa jina ‘47 Voices of Kenya Congress. hama hiki kimeingia rasmi kwenye ulingo wa siasa nchini Kenya na kuleta muundo mpya katika kile ambacho hadi sasa kimekuwa ni vuguvugu lisilo na kiongozi. Josephat Charo anazungumza na Martin Oloo, mchambuzi wa siasa mjini Nairobi, Kenya.