Ni jambo la kawaida kwa vijana wa Kiafrika, hasa wasanii na wale wanaowahusudu wasanii, kusikia wakiitana kwa majina ya "a.k.a" (as known as) au "maarufu kama", utamaduni ambao, hata hivyo, si mpya katika jamii hizo.
Muimbaji Sean Combs, ambaye anaye anajuilikana kwa umaarufu wa P. DiddyPicha: AP
Matangazo
Bruce Amani anazungumza na vijana wenyewe kujuwa kipi kinachowapa ladha ya kujiita majina ya yanayofahamika kama "a.k.a." au "almaafuru kama fulani", tabia ambayo inapendwa sana na hasa wasanii wa kisasa.