Doricas ni msichana wa miaka 20 ambaye ameanzisha jukwaa la kuwakutanisha vijana kuanzia miaka 15–25 kwa ajili ya kujadili changamoto zao na kutafuta ufumbuzi.
Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!