Je, wafahamu kuhusu Dukhan? Hii ni mila ya kipekee kutoka Sudan — bafu la moshi lenye manukato ambalo sasa limepata makazi Pwani ya Kenya. Zaidi ya urembo, Dukhan huaminika kuleta utulivu, kuondoa sumu mwilini, kupunguza maumivu ya viungo... Kwa wanawake, ni desturi muhimu kabla ya harusi au baada ya kujifungua. Ushawahi kuijaribu?